Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Huduma gani hiyo?
Baba yako alikupa kila kitu kuanzia kula, kulala, nguo na elimu zote za duniani na ahera, kuna kimoja tu ulikifata kwangu, hicho nitakupa kwa ukarimu kabisa. Vingine tupambane tu
😂😂😂
 
Baba yako alikupa kila kitu kuanzia kula, kulala, nguo na elimu zote za duniani na ahera, kuna kimoja tu ulikifata kwangu, hicho nitakupa kwa ukarimu kabisa. Vingine tupambane tu
😂😂😂
Aaaah we! Acha ukaidi, nilifuata hivyo na alivyostop kunipa baba.
 
Vilio kila kona. Ukunga. Wanaume wanateseka na mapenzi. Wanawake wao ni za utosi.
 
Bro unazijua ndoa za chuo? za miaka 3 au 4?
Huko watu wanaishi mke na mume pika pakua,
Ni mahusiano yanayokuwa na bond nzito.
Ajabu wapenzi wa vyuoni ni % ndogo sana huja kuoana

Wengi wameoa wake za wenyewe 😀.
Poleni sana waoaji/waolewaji
 
MUME MWENZA WAKO HUYONMKUU
 
YAAN BORA WA LASABA FORM 4
HAWA WA MWISHO MWISHO CHUO SIJUI COLLEGE

YUKO NAE HUYO TUMIA TU CONDM
 
Huo uzee baki nao wewe,unataka nikose kula mjini....
Hahaha................njoo unisalimie basi hapa GR

Ukifika Mapokezi ulizia Mzee mwenye mvi anayetumia mkongojo kutembea 😜
 
Hahaha................njoo unisalimie basi hapa GR

Ukifika Mapokezi ulizia Mzee mwenye mvi anayetumia mkongojo kutembea 😜
Kama mkongojo...aisee umenikosa.... kilakitu nifanye mie🙌
 
Babu ujengewe sanamu pale bungeni.

Muwe mnawaelimisha hawa watoto kina Manyanza na Nikifa MkeWangu Asiolewe
Japo kuwabadirisha watu mind sets zao ni jambo linalohitaji muda kidogo

Vijana wanatakiwa kujifunza Kwa Mzee mwenzangu wa Kipare ERoni

Yeye pamoja na Upare wake, huwa anakupatia kibunda cha Matumizi yako ya kawaida pasipo kuomba retirements

Sasa Vijana wakiwapa wake zao hela za Saluni lazima wadai chenchi 🤗
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Sasa si muachane? Unasubiri nini?
 
amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Mwanamke akitamka maneno haya hajatamka kwa bahati mbaya amemaanisha hivyo suluhisho ni moja tu mwache haraka sana ili akiwa nje na wewe ndiyo ajifunze huyo anayempa kiburi anamdanganya tu kwakuwa yupo kwenye ndoa tayari.
 
🤣🤣Ulishindwa mtihani.... Utakula ulikopeleka mboga mkuu🤒
Njoo tunywe kahawa wakati huo Wakala wangu anakamilisha kuhamisha mwamala kwenda kwenye ile akaunti yako ya Fedha za Kigeni

Kuweni na imani na Wazee 🤗
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
🤣🤣🤣😅🎶🎶🎧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…