Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Kumbuka huyo mke wako naye ana ex wake ni kuvumiliana tu.
 
Unachapiwa hapo, kibaya zaidi fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Shuleni mliitana majina
Kazini mnaitana majina
Mtaani mnaitana majina..
Hadi huko nako bado mnaitana majina??

Na mnaocheat wote mjikute mmeropoka majina tofauti kiwalambe kama cha Babeli yan.
Mi ndo mana naitaga bebi, sipendi kesi kabisa🤣🤣🤣
 
pole Sana mkuu, wazee wa kale walisema fimbo ya mbali haiui nyoka, sepa fasta usije fanya maamuz magumu
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Ndiomaana hakuna tena ulazima wa ndoa miaka hii, maana msingi wa ndoa ni kile kiapo, sasa kama hakifuatwi tena kwa kivuli cha madhaifu ya kawaida nini haja ya ndoa.?

Mengine yote yanakuwa hayana maana kama hicho kiapo hakifuatwi, maana hata bila ndoa unaweza kuvipata vyote wavipatavyo wenye ndoa.

NAWAZA TU.
 
Ndio ujinga wa kuitana majina. Angekuwa anatumia majina ya kimahaba yasingemkuta. Maana yale ni universal
 
Shuleni mliitana majina
Kazini mnaitana majina
Mtaani mnaitana majina..
Hadi huko nako bado mnaitana majina??

Na mnaocheat wote mjikute mmeropoka majina tofauti kiwalambe kama cha Babeli yan.
Unataka kuniambia hujawahi kumtaja jina la yule anayenoga kupita wote dunia nzima???
 
Uzee ndio kifupi cha jina lako kama umesahau
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Watazoea tu ni jambo la muda. Kibao kimewageukia😅😅
 
Hasara ziko kotekote. Hata mwanaume anaweza pata kansa ya koo kwa kupata hivyo virusi. Unajua kwa nini kansa za kwa wanaume zimeongezeka?
Uaminifu ni kwa wote ndugu
 
Huyo aliomtaja ni mchepuko wake trust me wake za watu wanacheat sana siku izi yani ukitongoza mke wa mtu ni rahisi kumpata kuliko aliye single
Ndoa za siku hizi ni shida sana. Yaani sio wake na waume za watu, wote wanachepuka. Ndoa zimebaki sehemu za kulelea watoto tu ,unminifu ni zero kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…