Mke wangu hajali familia

yani hakuwa hivyo mwanzoni, nimekaa nae zaidi ya miaka 5 kabla ya kuzaa nae mtoto wa kwanza..na alikuwa poa tu...balaa limeanza baada ya kuzaa mtoto wa pili ndio akaanza kutojali
Na shida inaanzia hapo. Yale maisha uliishi nae miaka 5 ndio amechukua kuwa ndio mfumo mtaishi miaka yote. Wanawake huhesabu maisha yameanza pale unapomposa na kumuoa, kinyume chake anajua mpo mazoezi ya vitendo ya ndoa, hamjaanza kuishi pamoja hata kama mnaishi pamoja.
 
Tuambie kwanza je ulichunguza ukoo wao au yeye ana ugonjwa wa akili? Pili tuambie anatoka mkoa gani? Usije mlaumu shemeji yangu bure kumbe wewe ni sehemu ya tatizo kisha njoo huku sasa tubadilishane mawazo sisi tulishapitia huko na tuna wajukuu sasa tunapeta uzeeni tunapendana mno sababu tulishajua tatizo
 
Yan hapa ninavosoma tu natetemeka kwa hasira Hiv nyie Wanaume wenzangu mnafeli Wap au n huu mfumo jike Yan ingekuwa mm ndowew sijui ingebak story tu yan Wanaume tumepungua Sana
 
Mkuu mbona Kuna wanawake hutafuta pesa na wakirudi hufanya kazi za nyumbani

nitoke huko nimechoooka na foleni za Dar nifikie makazi? Hapana aisee nitafanya weekend.

Dada yupo na ninamsimamia vizuri ili kila kitu kiende sawa, ila kwa mama wa nyumbani ambaye kazi yake kuchat tu ashindwe kufanya kazi?
 

kipindi nakutana na huyu mama watoto wangu kwanza nilikuwa bado nasoma wakati tayari yeye ana kazi yake. Naweza nikasema alinipenda from the scratch sikuwa na kitu wala muelekeo wa kuwa na kitu(kama ilivyo kwa vijana wengi wa vyuoni),,, baadae akapata ujauzito akajifungua akiwa kwao na akaendelea kukaa kwao, Nilipomaliza chuo nikapata ajira za hapa na pale nikaona sio mbaya nikalipa mahari nimchukue mzazi mwenzangu kwakuwa tumefahamiana kwa muda mrefu na tayari alikuwa na ujauzito wa mtoto wetu wa pili, Kwahyo rasmi nimeanza kuishi nae huu ni mwaka wa pili sasa naishi nae, kwa maadili ya kwao ni mtu alienyooka sana maana nyumbani kwao hawataki mambo ya kipumbavu,,,sasa nashindwa kuelewa hizi tabia anazonioneshea amezipata wapi maana sio mtu wa mitandano na hana marafiki zaidi ya wale aliokuwa anafanya nao kazi enzi hizo ambao anaongea nao tu kwa simu. Routine yake anashinda home mara nyingi from monday to monday, hata akiulizwa mji umekaaje hajui kabisa maana huwa hatoki.
KWAKWELI AM CONFUSED
 
Yan hapa ninavosoma tu natetemeka kwa hasira Hiv nyie Wanaume wenzangu mnafeli Wap au n huu mfumo jike Yan ingekuwa mm ndowew sijui ingebak story tu yan Wanaume tumepungua Sana
Asa ungefanyaje mkuu! ungemuacha kwa hasira au!
 
Huyo ukimletea mfanyakazi ndo utakuwa umeharibu kabisa, yaani itakuwa dada nichomekee simu chaji, dada chukua hela kaninunulie vocha, dada pika chai, dada niletee rimoti hiyo, mwishowe dada wa kazi anakuwa Kama punda.

Kama walivyosema member wengi, huyo cha muhimu mpeleke kwao, then weka mfanyakazi ndani msimamie atunze watoto wako vizuri.


Mkeo kipindi yupo kwao huko usimsumbue kabisa, fanya kwamba unaweza bila yeye maana chanzo cha migogoro mingi ya ndoa ni pale mwanamke anapoona kwamba labda Mwanamme hawezi bila yeye labda kiuchumi, kimawazo nk.
 
 
Mkeo hana dadake au mdogoye? Fungasha yeye na watoto aende kwao kwa wiki moja tu, akirudi amenyooka.
Sasa watoto wanahusikaje hapa katika hii adhabu, yeye aondoke mwenyewe awaache watoto ili roho imuume atakapowakumbuka wanae.
 
Basi labda ni kumdekeza unaishi nae kama unalipa fadhila na sio kama unaishi na mke wake.

Nadhani haina haja ya kugombana ni swala la kumpa makavu tu na kumpa maamuzi magumu kuwa arudi kwao au ajirekebishe tabia.

Na hii ndio changamoto ambayo wanaume huwa hatujui kusema tunataka mwanamke wa kuvumiliana nae mwisho wa siku huyu mwanamke ukishafanikiwa anakuwa sasa kama mzazi kwako au askari anakuchunga na kukulisha fadhila hadi inapunguza upendo.
 
Ila mabeki tatu ndio maana wanalipizia kisasi kwa watoto maana hawa wanawake wa kisasa hawana adabu kwenye kutuma tuma.

Unakuta baba ukirudi kazini unajifikiria mara mbili mbili kumtuma dada wa kazi ila mkeo hawazi kumtuma tuma hata vitu ambavyo angeweza fanya mwenyewe. Unakuta kadada kanamind mkeo kanatamani asafiri maana akiwapo ni kero kwake.
 
Mtu aende labour mara 2 asilishe watoto wake wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mkuu lazima kuna mahala uliteleza pia
 
Atafute hela na akirudi afanye kazi za nyumbani Mkuu upo Serious?

Kazi ya mke ni nini, tena ambaye yupo nyumbani tu?
huyu mwenzetu kuna mahali alikosea, wanawake huwa wanaanza taratibu, unashangaa mara hapiki badala yake mnakula kiporo cha wali siku hiyo imepita mara akanunue chips siku nyingine hiyo nayo inapita, kama hakukaza mwanzoni enzi za bebibebi unadhani kwa sasa ataweza. Acha aendelee kukomunika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…