Si akampeleke mtoto kwa bibi yake mzaa mama au mzaa baba.
Tayari nimeisha lisema hapo awaliYan umemuoa akijua kabisa kuwa una mtoto alaf bado anamchukia tena? Kwa ustawi wa mtoto wako achana na huyo mwanamke au watenganishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimchukue mtoto wa nini kwani wangu kinichonichosha na huyo mwanaume ku force mwanamke ampende mwanawe kinguvu eti kisa tuna upendo naye nipende na kisicho ni husu.
Nimekutana na wewe ku enjoy life mambo ya zinaa zako zinanihusu nini Mimi, nikitaka mtoto nazaa wangu, ulezi ni kazi ngumu,mie badala niwaze kutafta hela na career yangu na mapenzi niwaze ulezi wa mtoto asiyeni husu huo si ujinga.
Baba njoo tule raha na mie starehe zako za kuzaa hazinihusu kuja Kuni force force.
[emoji23][emoji23][emoji966]Kila mtu ashinde match yake wallah
[emoji122][emoji122]Hapa tu ndipo ninapokupendea. Hauna unafiki kwenye ukweli.
N hakika na kweli, n her akakae kwa mamaake kuliko anifanye mtumwa na kukosa amani ya maisha.Huu upuuzi mimi kamwe siwezi kufanya, ukiniletea mtoto, nitamlea kwa namna ninayoona mimi inafaa na usiingilie. Tofauti na hapo mwache alelewe na mama yake.
HakikaNdugu, mtoto wa kambo hata ukimgombeza unaonekana ni kwa sababu sio wa kwako, wakati hata mtoto wako ungeweza kumgombeza hivo hivo na ikaonekana sawa.
Kulea mtoto wa kambo ni kipaji, sio kila mtu anaweza huo uvumilivu.
Ulezi ni kazi ngumu na full time job na bado lawama siunaona huyu wa mleta mada anamlaumu mwanamke wake eti hampendi mtoto wake kisa mtoto kugeuza maneno ana tritiwa vibaya, Matokeo bwana naye anavimba, Mimi nimeshuhudia haya tena mtoto hata ukimuonya anasema unamtesa au hata humpi chakula kumbe ni uongo mtupu.Hata mimi niwe tu mkweli,akija single baba hicho kibarua cha kumlelea mtoto wake aisee Bwana Mungu aingilie kati.
Kinachoshangaza single father wanawaponda single maza humu halafu wanategemea waje kuoa wasio na watoto ...halafu wanataka hao wasio na watoto wawapende watoto wao.
Single father wapambane tu na waliozaa nao, kuliko kuja kuwatwisha mizigo mabinti wa watu kwa makosa yao wenyewe ya kuzaa hovyo.
Eeh hata Sarai alimfukuza Hajir kijakazi,
Kulea bila ubaguzi nadhani wanaweza malaika tu.
Dogo hujakuaWatu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.
Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.
Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Hana unafiki ni roho nyeusi imemjaa tu,sasa mtoto usiyemzaa wewe ukimlea ipasavyo unapungukiwa na nini?Hapa tu ndipo ninapokupendea. Hauna unafiki kwenye ukweli.
Aya ya mwisho umeimaliza vizuri kabisa na mada ifungwe hapa.Mfanyakazi mwenzangu aliletewa mtoto wa kambo. Mtoto kaja na tabia zake.
Mtoto ni noma, akimuona baba yake tu analilia chakula kilichopo jikoni hata hakijaiva.
Baba wa mtoto anamuuliza mke wake "mbona hao watoto wako hawalii njaa huyu ambaye sio wako ndio analia?" Dada wa watu inabidi amchotee mtoto chakula hata kikiwa kibichi.
Akitaka kununulia watoto wake kitu kama hana hela ya kutosha kumnunulia na huyo wa kambo anaona bora aache, hata kama ni mswaki.
Kuwalazimisha walale mchana sasa, alazimishe wa kwake tu huyo mwingine akilazimishwa anaonekana anateswa. Kwahiyo watoto wa huyo dada wakitoka shule wanapumzika, wa kambo anaenda kupuyanga mtaani.
Kuna ile hali ya kumcontrol mtoto asile sana , au asile vyakula vya aina fulani sana. Haloo utacontrol wa kwako tu usithubutu kumcontrol wa kambo umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa huyu dada watoto wake anawawekea chakula cha kawaida, halafu huyo wa kambo sasa anajaziwa chakula kama cha kula watu wa 5. Ukimuuliza kwanini anasema "ukimpa kidogo baba yake anaona unamtesa".
Huu upuuzi mimi kamwe siwezi kufanya, ukiniletea mtoto, nitamlea kwa namna ninayoona mimi inafaa na usiingilie. Tofauti na hapo mwache alelewe na mama yake.
Mimi nakupenda wewe mambo ya watoto wako hayanihusu kabisa, kisa Cha kuzeeka na viumbe visivo ni husu ni nini, nyumbu tu wenyewe bungeni hung'ata watoto wasio wahusu Mimi ni nani nibebe msalaba usio nihusu jamani, kila mtu awe responsible na actions zake sio kutumia upendo ka kichaka Cha uzembe na kunichoshana bure na kutaftia wengine dhambi za lawama bure.Itakua haujapenda...mbona ukikamatika unalea mtoto..una mtawaza, unaenda nae shopping..etc..
Nikifikiria ninavyonyoosha watoto kwenye mstari,mtu akiniletea watoto wake si ataona nawanyanyasa[emoji1787],kumbe wala!Ulezi ni kazi ngumu na full time job na bado lawama siunaona huyu wa mleta mada anamlaumu mwanamke wake eti hampendi mtoto wake kisa mtoto kugeuza maneno ana tritiwa vibaya, Matokeo bwana naye anavimba, Mimi nimeshuhudia haya tena mtoto hata ukimuonya anasema unamtesa au hata humpi chakula kumbe ni uongo mtupu.
Na hao single father huzalisha hovyo wakija humu hutukana single mother na kusema hawawaoi mpaka waone kaburi la mume mwenza na sisi ambao hatujazaa msituletee watoto wenu tuwalee kilazima oeni single mother Ili iwe ngoma droo kwenye ndoa sio kuja kutuzeesha kuwalelea wanenu kwa starehe zenu bana
Nanukuu:-[emoji23][emoji23] jamani tuwe wa kweli mtoto uliyemzaa na WA mwingine upendo huwa ni tofauti bwana tuwe makini na watu tunaozaa only few people Wana huo upendo but it's hard to balance
Upo WapiNikifikiria ninavyonyoosha watoto kwenye mstari,mtu akiniletea watoto wake si ataona nawanyanyasa[emoji1787],kumbe wala!
Kila mtu ashinde na mechi zake.
Sure Mimi nimeona na wengi hawapendeki na hawana jema hata ukimuonya kwa upendo ataona una mtesa, mtoto wa kambo mzuri ni yule utakayemchukua akiwa ka changa na ukalee ila mkubwa mbona shughuli pevu atavuruga hata mahusiano yasiwe na raha.Ndugu, mtoto wa kambo hata ukimgombeza unaonekana ni kwa sababu sio wa kwako, wakati hata mtoto wako ungeweza kumgombeza hivo hivo na ikaonekana sawa.
Kulea mtoto wa kambo ni kipaji, sio kila mtu anaweza huo uvumilivu.
Umesema kweli kabisaHata mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzake vyema bila ukakasi siyo jambo rahisi kabisa
Nazaaje kijinga hapo mpaka ndoa na ukiniachia nakubwagia watoto utafte mke desperate wa ndoa akulelee watoto wakoMke wa hivyo unamzalisha na yeye then unamuacha ndyo atajifunza kua mtoto wa mwenzio ni wako pia
Ni kweli,hata mimi mama wa kambo alienilea vizuri sana,mpaka kwa utoto wangu sikuona tofauti ya mama mzazi na yeye,you can't imagine,kuna wanawake wenye roho zao mkuu...Ni wewe TU na roho mbaya yako,
wangapi tumelelewa vizur Tena kwa upendo na mama wa kambo?