Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Kila siku najiambia ikitokea bimeoa basi lengo kuu litakua ni kujenga familia. Na kumuomba mungu watoto wawe ni Damu yabgu tu. Kuoa ili uwe unapata ngono kila siku ndio mambo yake haya.[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Kazi kuu ya wanandoa ni kitandani. Kazi zingine sijui kufua,kupika,usafi hizi ni nyinginezo. Sasa huyo mwanamke anayesema amechoka kazi kuu ila nyinginezo anafanya inabidi aitiwe kungwi
 
Ndoa ya Kikristu hii, hamna kuongeza mke wala hamna talaka. Mimi naona suluhisho la haraka ndo hilo mchepuko tu.
Ukiachana na suala la kuninyima unyumba, hana shida nyingine ni hapo tu yaani ndo tatizo lake kubwa.
Kuchepuka na kuzini dini yako inaruhusu?? Hivi mna akili nyie watu? Yaani kutoa talaka na kuoa mke mwingine unaogopa kwa sababu dini yako hairuhusu, ila kuchepuka na kuzini sio tatizo!!
 
Kuna watu mna mioyo migumu.

Mimi mtu akianza kunibabaisha katika jambo lolote huwa namfyeka bila kujiuliza mara ya pili.

Yaani ni fasta fasta, chap chap kijeshi.

Sijui ni hili komwe linanifanya niwe na maamuzi thabiti ya kutokubabaishwa?

Kwani sayansi inasemaje? DR Mambo Jambo
 
Anafanya tendo la ndoa na mwanaume mwengine, pole yako zoba wewe.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa broo kwa mwaka mara moja alafu kuna vijana kila siku wanakupigia tena anamuiliz bby leo nije nina hamu ...niliwai kukutana na dem niko kazini mbali ananipigia simu nina hamu leo usipokuj utaona nikasem nakuja wekeend anaksirik ikafika hatua mbunye hatoi anasem sijisikii nikasem sawa .......

Nikafika magheto nikamwambia sitaki kukuona kuanzia leo na usinitfte siwez kuja bunye usitoe au ugomvi kimtindo nikapiga chini...

akaanza kulia lia ooh wew ndo sababu mbona nikikuita huji lakin nilihis ana wanaume siku napiga naibuka na gono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sem nikamtibia .... nikapotea mazima.....
 
Tafuta mwanamke mwingine wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…