Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Maradhi miaka yote hiyo?
inawezekana kabisa ...

inatakiwa ufanye upembuzi yakifu.
.anza kwa ku hack simu zake .

uone kama huchapiwi?!
halafu angalia mawasiliano yake na marafiki zake wa karibu au ndugu... uone kama hana msongo wa mawazo..


kama vyote ni negative.. jitafakari wewe.. una hisi wapi ume kosea . na ubadilike ..
 
Hilo wala sio tatizo, usafi sio shida kwangu.
Basi labda humfurahishi kabisa kitandani,huenda unakojoa haraka dk 1 tu,hivyo kashaona haina haja.Lakini atakuwa anafidia ama nje ama masturbation.Jitafute,maana kama dk 1 umemwaga jua hata huyo wa nje utayempata(ukiamua) ; atakuvumilia siku mbili tatu halafu anaanza visababu.
 
Utakuwa humkojozi Kuna mtu kakusaidia hiyo kazi akisex na wewe anahisi kusex na mnyama
 
Acha uboya kiumbe wa kiume asiechepuka ni Mbwea na njiwa tu hao ndo huwaga na jike mkoja tu mpaka kufa

Tafuta mchepuko piga mashine ikiwezekana uwe unalala huko huko unarudi home asubuhi na usimpe attention huyo mke wako atazidi kukupanda kichwani

Anakubania uchi wengine anawapa wanamgeuza wanavyotaka. Tafuta mpango wa kando huyo mtemeeee
 
Nilishafanya uchunguzi wa simu zake na kufuatilia nyendo zake, sikukuta red flag yoyote.
 
Mimi sio mwanaume wa dakika 1 mkuu, plus huyu mwanamke mimi ndo niliyembikiri, hivyo hana uzoefu kiasi hicho.
 
Sawa mkuu
 
Umemaliza kila kitu. Hapo nikibisha itakua ni kukaza shingo tu. Wacha nijitafakari mkuu.
 
Mkuu kabla ya kuanza kumtuhumu mkeo nadhani uanze kujichunguza wewe kwanza, huenda una vitabia havipendi au umestack sana kimaokoto.. .. ukweli mchungu ni kwamba mwenzio Hana hisia na wewe that's why anakupakulia tu hatoi ushirikiano.. jitahidi kumjenga kihisia kwanza nje ya ulingo yaani akutamani yeye .. mazungumzo yenu hata Yale ya kawaida jitahidi yawe Bora zaidi sio Bora mawasiliano
 
Option nilizonazo hadi sasa:

1. Kutafuta kipoozeo (mchepuko), namaliza hamu zangu zote huko, narudi home saa sita-saba usiku kulala.
2. Kumuacha huyu mwanamke asiejielewa na kuoa mke mwingine.
Nimekupa makopa mkuu, hizo ndio options zilizopo. Ndoa bila tendo ni mfu, imekufa sasa unakaa na mtu mwezi mzima yeye yupo OK kabisa, sio sawa.
 
Mimi sio mwanaume wa dakika 1 mkuu, plus huyu mwanamke mimi ndo niliyembikiri, hivyo hana uzoefu kiasi hicho.
Sawa. Anafikaga mwisho (mshindo).Kama hafiki kwanini?Au labda kwa ubikra huo hajafungua moyo kupeleleza mautamu kutoka kwako so hajaipata vizuri sayansi ya ku do? Kama ndivyo basi una nafasi ya kumfanya ajiamini na kulipenda tendo.
 
Sawa. Anafikaga mwisho (mshindo).Kama hafiki kwanini?Au labda kwa ubikra huo hajafungua moyo kupeleleza mautamu kutoka kwako so hajaipata vizuri sayansi ya ku do? Kama ndivyo basi una nafasi ya kumfanya ajiamini na kulipenda tendo.
Ndio, huwa anafika mwisho, na tukifanya akitoa ushirikiano huwa anaonyesha kufurahia tendo na anafika mwisho kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…