Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Hauko peke yako sema tu nyie mmeanza kuchokana mapema Sana.
Mchunguze isije ikawa kijana wa maziwa anamtindua au huyo jirani mwenye macho mekundu.
 


- Angalia amani yenu, au ana vitu vinamsumbua?

- Kama hana linalomsumbua, lazima ana vijianaume huko nje
 
tafuta mke mwingne broo haraka maisha yetu mafupi sana hapa dunian tupo kwa ajili y akuenjoy maisha...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jifunzeni wewe na mkeo kuongelea issue za mapenzi sio mnasubili MDA wa kulala mnaanza kuombana Bro, navyoona mkeo anachoka kweli kutokana na maelezo yako ya dakika 10 .kumi akiingia kitandani analala, .Ongeeni kirafiki bila kutumia nguvu kuhusu tendo la ndoa na kila mmoja wenu aeleze anavyojisikia, Mpe uhuru / nafasi ya kukwambia Ni wakati gani mwili wake unatamani kufanyia tendo Hilo, Na katika shughuli zake Ni Jambo gani linasababisha anachoka Sana kupita kiasi mtafutie ufumbuzi kwa pamoja..pia jichunguze kauli zenu usikute mnanyanyasana kihisia kwa matusi mkitofautiana, hii Ni mbaya mmo inaondoa upendo.
 
Ongea naye kirafiki ,kwani kukosa tendo humfanya mtu kuwa na hasira umwambie kabisa atoe Dukuduku Kama analo,wewe la kwako ni kunyimwa haki yako mwisho mwambie tuanze upya Kama Kuna Jambo halikuwa sawa.

Baada ya hapo mpe mda wa kupumzika yaani ashinde nyumbani tu kulala, ukiwa kazini mtumie sms za uchokozi za kimahaba na Maandalizi
Ukiona bado ujue hakuna uchovyu au kukwazika uchukue hatua zaidi
 
pole,njoo inbox tusaidiane ndoa irejee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kuhusu Kunyimwa tendo kimejificha nyuma ya pazia.

Kwa mwanamke sex is earned.

"My husband has been so good to me let me he deserve to be rewarded with sex"
 
Mpaka Leo huwa najiuliza kwanini nilichelewa vile kuachana na yule chizi? Kwanini nilikuwa naogopa kuoa mara ya pili?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ vizuri sana blad
 
Utashauriwa mengi ila kabila ulilo oa halitawaliki.

Hawa wanatakiwa wao ane wenyewe Kwa wenyewe.

Hata mama mkwe wako atakuwa anafanana na mke wako, na Kuna uwezekano mkubwa baba mkwe wako alipata mateso kuliko unayo yapata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…