Na huwezi jua mapungufu hayo mpaka uishi naye,....hawa viumbe π₯π₯π₯±Mke uta oa mpaka lini wote wana mapungufu mbali mbali huwezi kupata angalau mwenye ukamilivu wa 70% asikundaganye mtu wanawake wana udhaifu mwingi kiliko wanaumme.
ππππππ Uvumilivu umenishinda aisee umetafuta makosa mpaka basiKosa la nne
Huo udhaifu unatatulika,fanya ifuatavyo:Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Kumbe mpaka chapati anajua kupika mbona mpishi mzuri tu asilimia kubwa wanawake hawajui kupika chapatiMkuu mapishi mengine kama chips, pilao, chapati nyama maharage anajua, ila ugali ndo kasheshe.
Mkuu kweli kama lunch alianza kupika saa sita mchana kaivisha saa 11 kwahiyo akianza saa 11 kupika sapa si mutakula asubuhi yake saa 7 usiku hapo utalala saa ngapi natumia busara kimuambia ache kupika tunywe juice tu.Ulivyo mzembe na wewe unamsapoti eti tunywe juice, are you serious bro?
Hongera kama uko hivo, mme wako kapata kifaa kama huna madhaifu mengine makubwa zaidi . bigupMwanamke asiyejua kupangilia kazi huwa na character za kiume.....mimi napika,nafua,Nathan jf na whsup na bado chakula kwa wakati nyumba safi...simple tu
Asante,pungufu langu ambalo hadi najua ni ukali,japo sinuniHongera kama uko hivo, mme wako kapata kifaa kama huna madhaifu mengine makubwa zaidi . bigup
Mmh!! Ukali wa wivu au wakutokupa ulicho omba? Unajua wanawake wengi are nagging in nature.Asante,pungufu langu ambalo hadi najua ni ukali,japo sinuni
Unakujaje kumwanika mke wako huku? Hayo si majadiliane ndani kwa ndani? Sisi huyo tutaweza kumshauri?Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Nimepata ushauri mzuri humu na relief ya moyo, sijamuanika kwasababu hawamjui na mimi hawanijui.Unakujaje kumwanika mke wako huku? Hayo si majadiliane ndani kwa ndani? Sisi huyo tutaweza kumshauri?
ππKula miwili mlo wa tatu mle yeye.
Hata kama hawajui, maneno yanayorushwa na wadau yanachoma moyo!Nimepata ushauri mzuri humu na relief ya moyo, sijamuanika kwasababu hawamjui na mimi hawanijui.