Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Wewe kinachokuumiza kichwa ni mama kwenda na mwanae??? mzima kichwani kweli wewe??? yani hapo ndo vizuriii maana hata kucheat atacheat kwa akili angalau atakumbuka ndomu pia atamkeep busy sasa wew unataka akuachie mtoto utamnyonyeshaa wew??? unadhani kulea mtoto mdogo ni lele mamaa au wew ni baba wa nyumbani??? UNAKWAMAAAAAA.
 
Hao watoto wote acha waende na mama yao.kwa mama hakuna gumu linapokuja swala la malezi.afu unasemaje?! Ati akuache na watoto na binti wa kazi?! We kaka unamaanisha au unatania?! Huyo binti si utamgeuza mke huko ndani.hakuna kitu kama hicho. Na ukweli ni kwamba hutaweza lea watoto
 
Bila kupepesa macho Hz kaz huwa zinavunja ndoa , hasa kama mwanamke bado mbichi , serikali tuu kuhamia Dodoma mamia ya ndoa zilivunjika plus kuzaliwa watoto wengi nje ya ndoa .... Hakunaga distance relationship .... Jitahd uvunje uchumi wa huyo mwanamke , Ila kama alivyoeleza mdau namba 3 hapo jitahd tuu kulea watoto ... Lolote laweza tokea
 
Mbona ni kama una wenge la kuchapiwa mkeo?

Hadi kuandika KAPANGIWA kwenye title umeshindwa
 
Uhamisho wa dodoma kuacha familia dar umegharimu UHAI WA WATU WENGI NA KUVUNJA NDOA NYINGI SANA.
 
Wanazengo wanamambo kweli kweli yaani
 
Aisee nakuonea huruma sana, hao Watoto angalau watakusaidia asijiachie sana lakini kuliwa ni lazima, huu ndio ukweli mchungu ambao ni lazima ukubaliane nao.
Jiheshimu basi Kama wako analiwa sio wote nyie mnaudhi Sana Kuna watu bado ni wasafi na wanajiheshimu.Sio vizuri kumpanikisha kaka wa watu mpaka anapata stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…