Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Kweli umempiga siyo vizuri, ila kukupeleka
polisi ndiyo mbaya zaidi.

Hao mashosti ipo siku watamshauri akuwekee sumu ili ufe kabisa.

Mwanaume anipeleke polisi tunaachana hapo hapo.

Jifanye bwege mwambie aende kwao utamfuata huko, Jishauri then utaamua.
 
Huu ndiyo ushauri wa mwanaume.
 
Na katika kujielewa huko kuna mzee alijielewa zaidi kuliko baba ako ndio ukapatikana
Baba yangu hasingeweza kushauri ujinga eti mkeo akikweka ndani hakikisha ameondoka nyumbani? Huyo baba yako ndiye unamwita anajielewa? Badala akwambie ukitoka usiende kwako njoo huku daa baba yako atakuwa kizazi kipya, wenzio wazee wetu walikuwa niwazee wa kutafuta ili hekima. Nenda kwa Babu yako atakufundisha jinsi yakuishi na mke Kwa baba yako umefeli pakubwa
 
Nakushauri msamehe lakini usitamke wewe rudi nyumbani halagu fungal hiyo matrimonial room fanya ukatabati fungal hafi vitu kama CCTV yaani fanya mkwara sana kisha ikikamilika rudi chumbani kwako. 😄 anakwambia atakuwa na tahafhari zisizo za kawaida hapo nyumbani. Haji kurudia ujinga huo na hao wapumbavu wenzie watakuwa maadui.
 
Fukuza taka taka hiyo.

Kwenda POLICE na kukulaza lockup siyo shida maana kweli ulimpiga na haikua sahihi kumpiga

Kosa lake:
Kusikiliza ushauri wa wanawake wa nje, hiyo ni red flag Moja mbaya sana......ipo siku watamshauri jambo baya na mke wako atatekeleza, kama upo makini chunguza vizuri Kuna vitu kafanya unaona kabisa siyo yeye jua kabisa Kuna washauri wake wapo kazini
 
Kitendo cha kukaa na watu wasio sehemu ya familia kuamua kumjadili mwenza wako no matter kafanya nini wanafanya wapumbavu.
Kesho mkisolve wanaanza kuwanyoshea vidole.
Tena katika Hasira, mwanadam mpumbavu huongea mpaka take ambayo HAPASWI kuongea .

Ningekua Mimi ni Jamaa, katika kurudisha Heshima ya uanaume wangu , ningempa mwanamke Likizo ya kwenda kwao au atakapojua yeye mwenyewe Hadi pale nitakapoamua tofauti.
 
Bro, yaana iko hiv, utamuacha mkeo aliye kupeleka rumande akafuta kesi kesho yake, alaf ukamchukua ambaye ukimpiga mikanda wala hatakuja kukutizama ukiozea jela, huyo kwa kitendo cha kufuta kesi ndani ya masaa 24, anakupenda sana , ila kama unavojua wanawake, shida mashost, lakin pia woote wamejaliwa madhaif hakuna mwanamke asiyedhaif,
PILI (KWA MSISITIZO) Kesi ya kulea watoto ingali baba na mama wameachana ni changamoto hakuna mfano, utayumbisha mustakabali wa watoto, najua hili hutaelewa.

Ushauri.
Mpe kaadhabu ka mwez kama wengne walivochangi, ila usimwambie ka unampa adhab, akilalamika mlengeshe kwa mashost waliompa wazo la kukupeleka lock down, sijui ni up vile.
🙏🏿
 
Kwanza we jinsia gani kama ni mwanaume basi kuna walakini au unajikomba kwa wanawake wajinga humu wakuone mtetezi na piga ua umelelewa sana na mama wewe huna tabia za kiume kabisa kama ni mwanaume , hakuna hekima mbele ya upuuzi na kwa haya inaonekana mkeo umeolea watu wewe hebu kuwa na misimamo ya kiume wewe.
 
Wewe endelea kutesa mkeo ukizani mjinga, ndiyo mwisho wa siku mnaanza kulalamika mke maisha yamebadilika naye kabadalika kumbe kabeba mateso ya zamani.
 
Halafu wewe ni mwanamke daa kama unawake wa watoto wako watakuwa wanapata tabu sana Kwa mama mkwe wao
 
pole chief
 
Wewe endelea kutesa mkeo ukizani mjinga, ndiyo mwisho wa siku mnaanza kulalamika mke maisha yamebadilika naye kabadalika kumbe kabeba mateso ya zamani.
Aisee jitafakari wewe sana tena sanaaa mbona huna masculine ya kiume hivi? We unajua wanawake walivyo wewe? Sikufichi bwana mdogo mana kwa hiki unachokiandika humu mpaka umri wako nishaukadiria , Acha kujidai mtetezi sana wanawake wao wenyewe hawajui nini wanataka ,

Haya kama ilikua ni sawa kumpeleka mumewe polisi mbona alienda kufuta kesi unijibu hapa sasa hivi, hebu kuwa mwanaume wewe
 
Ukirudi
No 1
Oga
Kulendan HATA nususaa sio kuzuri
2.usiongee nae
3=kama unaweza kuhamia kwa mda hama
4.kama unaweza KUBADILI line ukawa na mpya kwa mda msiwasiliane kabisa Fanya hivyo
5=hakikisha unasali asbh na jioni uendakoo
6..ukirudi usimpigie simu
7.... hakikisha usinywe pombe ukiwa nae maana na...
8.ukirudi kaaa kimya PISHANA naeee YAAN HATA akusalimie kimya
9.hamia chumba kingine usikubali kulala chumba kimoja mwezi mzima HATA aje marehemuu mxazizwake
...inaendelea keshooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…