Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

msamehe tu
 
Afande alimshauri hivyo huku ana m please mke wa jamaa, na baada ya mda huwa wanawala wake zenu maana ni mlango mzuri sana wa kupitia!
Sipingi, kwenye migogoro wanawake hutuliza hasira zao na kulipa kisasi kwa njia ya kipumbavu sana
 
Hapo hakuna ndoa, akishaanza kupewa ushauri na mashosti ndio huwa mwanzo wa mwisho
Hao mashosti zake itakuwa ni wadangaji tu wa mjini wala hawajui thamani ya ndoa.
Yaani huyo anatakiwa watengane hata mwaka halafu baadae wakirudiana atakuwa amejifunza kitu hatokubali tena kufuata ushauri kwa watu wa nje
 
Fukuza hiyo mbwa, la sivyo itakuletea matatizo mengi mbeleni.
 
Mpe karikizo hata miezi miwili kama nimuelewa atajifunza asipobadilika fukuzia mbali.
 
Najisikia vibaya kuona jambo la kumpiga mkeo wewe hujaliona! Na hapo ukute ugomvi wenu ulianza baada ya yeye kukuuliza masuala flani flani either yahusuyo hela ama umalaya! Unapiga mtoto ambaye hujamzaa Wala kumlea halafu kupelekaa lock up iwe nongwa? Rudi kwa mke wako, KAENI chini zungumzeni + umuhaidi hutompiga tena je ungemuua? Kuwa na utu nyokooo wewe!
 
Na ndo mana mnapigwa sana sasa ushauri gani unatoa na lugha za kejeli kama izo eti nyokoo mm mtu kama ww unajibu ivo nakuzibua.
 
Mkuu leta mrejesho basi mambo yaliendaje?
Ilikua leo nipelekwe mahakamani,ila kwa sababu mlalamikaji amesema hana nia ya kuendelea na kesi na ameomba tuyazungumze wenyewe,so tuko hapa polisi kwenye dawati la jinsia sijui wanataka kutuambia nini.
 
Lengo la kufanya hivi ni lipi?

Mwanamke hasa akiwa mke wa mtu sisi wanaume ndio tunavutiwa nao zaidi kwahiyo kwa kutotuma kwako matumizi usidhani kama ndio utamkomoa Bali Kuna kidume kitajitokeza kukusaidia majumukumu kwa muda utakaokuwa likizo
 
Ilikua leo nipelekwe mahakamani,ila kwa sababu mlalamikaji amesema hana nia ya kuendelea na kesi na ameomba tuyazungumze wenyewe,so tuko hapa polisi kwenye dawati la jinsia sijui wanataka kutuambia nini.
Hapo dawati la jinsia kuna police wana midomo,watawasema mpaka mzirai.
 
Ila wanaume ni viumbe wabinafsi mno, wote hawaongelei kosa la jamaa kumpiga mke wake mnaona la mke kumpeleka polisi. Mijanaume ya Tanzania imeshanomarlize Domestic violence iwe kitu cha kawaida sana.
Kaa chini na mke wako mmalize matatizo yenu sababu hawa wanaokushauri mitandaoni wengi ni mabachelor sugu hata hawajui maana ya familia ndio maana kirahisi anakwambia " piga chini" akili kichwani kwako. Na mwisho acha kumpiga mkeo looh
 
Wewe kwanini ulimpiga?
Jamaa karudi kazini huku akiwa amechoka.

WIFE: "umepitia kwa mahawara zako huko alafu umefika humu unajifanya umechoka"

JAMAA: "Sawa, naomba chakula nahitaji kupumzika"

WIFE; "Ungekuwa una njaa si ungewahi kurudi kawaambie mahawara zako wakupikie .

JAMAA: mbona unanijibu jeuri nitakupiga,

WIFE: "EMU NIPIGE KAMA WEWE MWANAUME KWELI".

Kuna wanawake Wana midomo michafu choo cha stand kinasubiri.
 
Sasa badala ya kurudi wakayamalize eti wanamshauri sijui apotee aende mwezi au miwili alaa watoto hawa wa 2000 atalipa na mabua, yeye katoa kipigo mwisho kaenda huu kwenye ndoo kati watu 30πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ arudi nyumbani tu.
Mkuu, kupotea kidogo ni lazima sababu inatoa gap ya kila mtu kutambua umuhimu wa mwenzake na kupata ladha ya kuachana inavyofanana, hii ni nzuri kwa afya ya mahusiano pale mnapoyaamsha tena. Ila, asitokee wa kufanya umalaya, esp mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…