Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.

Wao wanaenda uwanjani kwa miguu yeye anaingia na range wao wanatoka wanarudi kwenye vyumba vyao vya kupanga Manzese na Tandale yeye anarudi kwenye bangalow lake Mbezi Beach omba Mungu akunyime vyote asikunyime akili.
Unaamini kwamba wewe ndio mwenye akili kuliko watu wote hao?

Mbona huwashangai wanaospend pesa kibao kupanda ndege mpaka Mecca Saudi Arabia na kulipia pesa kibao kwenda kumpiga mawe shetani ambaye haonekani? Hapa mjinga na misukule ni IPI?
 
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.

Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF

Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa

Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha

Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana

Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....

Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana

Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu

Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu

Nawatakia 7-7 njema..
MWAMPOSA ni nabii wa Kweli wa MUNGU,

Shuhuda ni nyingi MNO
 
Kwani Christina Shusho anasemaje? Tuanzie hapo kwanza🤒
 
Ni kama vile kuitajirisha Saudi Arabia kila mwaka kwa kile kinachoitwa Hija na Umra.

Tatizo la nyani huwa halioni kundule.
Nyie si mnaenda hija yenu kule israel au hamwendi tena siku hizi?


Kweli Nyani haoni kundule
 
Unaamini kwamba wewe ndio mwenye akili kuliko watu wote hao?
First of all,ktk post uliyoni-quote hakuna popote niliposema kwamba nina akili kuliko watu wote ila nilizo nazo kama zikawa kubwa au ndogo at least naweza kuzitumia vizuri ndiyo maana nikaandika vile
Mbona huwashangai wanaospend pesa kibao kupanda ndege mpaka Mecca Saudi Arabia na kulipia pesa kibao kwenda kumpiga mawe shetani ambaye haonekani? Hapa mjinga na misukule ni IPI?
Kama ulinisoma ili uelewe na siyo ili unijibu utagundua mimi sikuzungumzia mtu nje ya Ukristo,nasisitiza kama yupo mtu anaamini kupata mafanikio ni kwenda kumpa mtu pesa na kuwekewa mikono kisha kuvuta shuka akisubiri miujiza badala ya kwenda kufanya kazi kwa jasho na damu huyo/hao wanabaki kuwa MISUKULE!!!
 
Watu wamejaa mno na wale mnaoangalia kwenye TV msisite kutuma sadaka zenu kwa njia ya mitandao. Karibuni sana
 
Dini ni muhimu Sana zinasaidia kuleta amani na kutuliza mioyo lakini haziwezi kuondoa matatizo.kama huna Hela huna tu hata uhamie kanisani jibu ni kufanya KAZI Kwa bidii
 
Mwamposa Hana ndoa halafu unategemea akufundishe Mambo ya ndoa? Experience atakua ameitoa wapi?
Wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom