Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

aminaa mkuu hilo n ombi la pili kwenye list mkuu mema ya nchi tunakula duniani mpwaa ila mapema hata aijachanganya unataka kumtandika watafunga kampuni mpwaa
 
Inakuwaje sadaka inakwenda moja kwa moja kwa Boniface?

Bila shaka Boniface ni mfanya biashara aliyejificha kwa koti la mtume, na anakwepa kulipa kodi.

Huu ni wizi kabisa 😂
Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.

Wao wanaenda uwanjani kwa miguu yeye anaingia na range wao wanatoka wanarudi kwenye vyumba vyao vya kupanga Manzese na Tandale yeye anarudi kwenye bangalow lake Mbezi Beach omba Mungu akunyime vyote asikunyime akili.
 
Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.

Wao wanaenda uwanjani na miguu yeye anaingia na range wao wanatoka wanarudi kwenye vyumba vyao vya kupanga yeye anarudi kwenye bangalow lake Mbezi Beach omba Mungu akunyime vyote asikunyime akili.
Unaweza kuwa na akili ila ukakosa maarifa.

Hii shida ipo kwa wengi
 
Mafanikio hayana shortcut wakuu, tupige kazi
Watu hawaelewi wao ni mwendo wa nikanunue maji ya hill niogee nikae kivivu vivu nisubiri kupigiwa simu ya deal kwa sababu jana nabii sijui mtume alinitabiria itakuwa hivyo na sadaka yangu nikampa.

Hela hazipatikani kirahisi hivyo mimi huwa nabishana nao kuhusu haya mambo wananiona sina akili lakini baada ya muda mmoja mmoja tunakuwa tunaongea lugha moja.
 
Mimi na ndugu yangu dronedrake tunaomba usitujumuishe kwenye hayo maombi yako ya vijana wa JF kuingia kwenye ndoa, hatuna shida na hiyo laana.
 
usiwaguse masihi wa Mungu
Kwa sababu upo kitengo cha kuhesabu sadaka mkuu si ndiyo?

Hao hatuwasemi tunahabarishana tu kwamba tuwe na imani lakini wakati huo huo tuwe na akili pia tusiwe kama mbuzi
 
Kwamba kiongozi unaona mdada yupo ndani ya shela na mkaa yupo ndani ya suti!? daah haya bhana.
 
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.

Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF

Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa

Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha

Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana

Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....

Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana

Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu

Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu

Nawatakia 7-7 njema..
mim lazima kuudhuzuria kesho ili safari yangu ikamilike vile ninavyotaka!kama tumepata pumz za kumtafuta mungu kwann tusimtafute
 
Tuanze kusogea saa ngp
Uwanja unakaribia kujaa mkuu aboud zimemwaga mzigo wa kutosha toka Moshi arusha ,moro karibu sana ntajongeeka hapo mchana kutoa huduma kidogo tukutane usiku
 
mim lazima kuudhuzuria kesho ili safari yangu ikamilike vile ninavyotaka!kama tumepata pumz za kumtafuta mungu kwann tusimtafute
natoka hapo mkuu unaweza hisi kesho hawaingiiwengine walivyojazana Mungu akuwezeshe kama dunia tusha enjoy sana tumtafute Mungu kwa bidii muwe na mwisho mwema
 
Mi natamani niwashauri vijana kabla ya kuoa usikurupuke.Maisha nayo ishi sasa nichangamoto kubwa na lukuki mpaka zina pelekea kuzorotesha Afya Yangu.
Mke nilie oa amekua Shida na nimesha chuma nae mali kiasi za kuishi bila misukosuko na watoto nimezaa nae lakini nayo yapitia asee.Na hisi hata Mwamposa anaweza asitatue shidayangu.
Nakumuacha nashindwa maana ntaanzia wapi na watoto wale nilio zaa nae.
Mkuu jitahidi uweke ratiba ya kufanya Mazoezi Uwanjani Ili kujenga Afya Yako vizuri. Haya mambo ya ndoa pasua kichwa. Usipoangalia unapotea mazima ghafla
 
Mi natamani niwashauri vijana kabla ya kuoa usikurupuke.Maisha nayo ishi sasa nichangamoto kubwa na lukuki mpaka zina pelekea kuzorotesha Afya Yangu.
Mke nilie oa amekua Shida na nimesha chuma nae mali kiasi za kuishi bila misukosuko na watoto nimezaa nae lakini nayo yapitia asee.Na hisi hata Mwamposa anaweza asitatue shidayangu.
Nakumuacha nashindwa maana ntaanzia wapi na watoto wale nilio zaa nae.
Hatua ya kwanza mwanamke ana masikio matatu, asiposikia kwa masikio haya mawili yanayobebwa na kichwa basi jitahidi sana kulizibuwa sikio la tatu ambalo liko chini ya kinena atakusikia.

Hii Tiba isipoleta matokeo matokeo sasa unampa dose ya nusu kaputi maana huyo itakuwa na mapepo dawa ya mwanamke ni mwanamke, usije kudanganywa na mtu, huu ndio ukweli washauri wengi hawataki kuwaeleza watu ukweli ila dini ya kiislamu waliliona hili kitambo.

Inavyotakiwa kuwa ni lazima mwanaume uwe na wanawake wanaoshindana kukuhudumia na kula mema ya nchi na siyo kuishi kwa mateso tena wakati mia mbili ya kubadili mboga unayo.
 
Back
Top Bottom