Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.Inakuwaje sadaka inakwenda moja kwa moja kwa Boniface?
Bila shaka Boniface ni mfanya biashara aliyejificha kwa koti la mtume, na anakwepa kulipa kodi.
Huu ni wizi kabisa 😂
Unaweza kuwa na akili ila ukakosa maarifa.Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.
Wao wanaenda uwanjani na miguu yeye anaingia na range wao wanatoka wanarudi kwenye vyumba vyao vya kupanga yeye anarudi kwenye bangalow lake Mbezi Beach omba Mungu akunyime vyote asikunyime akili.
Watu hawaelewi wao ni mwendo wa nikanunue maji ya hill niogee nikae kivivu vivu nisubiri kupigiwa simu ya deal kwa sababu jana nabii sijui mtume alinitabiria itakuwa hivyo na sadaka yangu nikampa.Mafanikio hayana shortcut wakuu, tupige kazi
Kwa sababu upo kitengo cha kuhesabu sadaka mkuu si ndiyo?usiwaguse masihi wa Mungu
Heeee😃😃😃Mimi na ndugu yangu dronedrake tunaomba usitujumuishe kwenye hayo maombi yako ya vijana wa JF kuingia kwenye ndoa, hatuna shida na hiyo laana.
ndioHeeeeí ½í¸í ½í¸í ½í¸
Sawa😃😃ndio
mim lazima kuudhuzuria kesho ili safari yangu ikamilike vile ninavyotaka!kama tumepata pumz za kumtafuta mungu kwann tusimtafuteKesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF
Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa
Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha
Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana
Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....
Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana
Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu
Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu
Nawatakia 7-7 njema..
natoka hapo mkuu unaweza hisi kesho hawaingiiwengine walivyojazana Mungu akuwezeshe kama dunia tusha enjoy sana tumtafute Mungu kwa bidii muwe na mwisho mwemamim lazima kuudhuzuria kesho ili safari yangu ikamilike vile ninavyotaka!kama tumepata pumz za kumtafuta mungu kwann tusimtafute
Mkuu jitahidi uweke ratiba ya kufanya Mazoezi Uwanjani Ili kujenga Afya Yako vizuri. Haya mambo ya ndoa pasua kichwa. Usipoangalia unapotea mazima ghaflaMi natamani niwashauri vijana kabla ya kuoa usikurupuke.Maisha nayo ishi sasa nichangamoto kubwa na lukuki mpaka zina pelekea kuzorotesha Afya Yangu.
Mke nilie oa amekua Shida na nimesha chuma nae mali kiasi za kuishi bila misukosuko na watoto nimezaa nae lakini nayo yapitia asee.Na hisi hata Mwamposa anaweza asitatue shidayangu.
Nakumuacha nashindwa maana ntaanzia wapi na watoto wale nilio zaa nae.
Hatua ya kwanza mwanamke ana masikio matatu, asiposikia kwa masikio haya mawili yanayobebwa na kichwa basi jitahidi sana kulizibuwa sikio la tatu ambalo liko chini ya kinena atakusikia.Mi natamani niwashauri vijana kabla ya kuoa usikurupuke.Maisha nayo ishi sasa nichangamoto kubwa na lukuki mpaka zina pelekea kuzorotesha Afya Yangu.
Mke nilie oa amekua Shida na nimesha chuma nae mali kiasi za kuishi bila misukosuko na watoto nimezaa nae lakini nayo yapitia asee.Na hisi hata Mwamposa anaweza asitatue shidayangu.
Nakumuacha nashindwa maana ntaanzia wapi na watoto wale nilio zaa nae.