Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unaamini kwamba wewe ndio mwenye akili kuliko watu wote hao?Misukule yake inakwambia inatoa sadaka ili ibarikiwe kwa mikono yake isijue yeye ndiye anayebarikiwa zaidi kupitia kazi za mikono yao.
Wao wanaenda uwanjani kwa miguu yeye anaingia na range wao wanatoka wanarudi kwenye vyumba vyao vya kupanga Manzese na Tandale yeye anarudi kwenye bangalow lake Mbezi Beach omba Mungu akunyime vyote asikunyime akili.
MWAMPOSA ni nabii wa Kweli wa MUNGU,Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF
Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa
Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha
Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana
Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....
Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana
Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu
Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu
Nawatakia 7-7 njema..
Sadaka yako tutaipataje,Safi sn
Nitajikonekti kwa TV mimi na familia yng mn najua mkono wa Mungu hauna umbali
Nyie si mnaenda hija yenu kule israel au hamwendi tena siku hizi?Ni kama vile kuitajirisha Saudi Arabia kila mwaka kwa kile kinachoitwa Hija na Umra.
Tatizo la nyani huwa halioni kundule.
First of all,ktk post uliyoni-quote hakuna popote niliposema kwamba nina akili kuliko watu wote ila nilizo nazo kama zikawa kubwa au ndogo at least naweza kuzitumia vizuri ndiyo maana nikaandika vileUnaamini kwamba wewe ndio mwenye akili kuliko watu wote hao?
Kama ulinisoma ili uelewe na siyo ili unijibu utagundua mimi sikuzungumzia mtu nje ya Ukristo,nasisitiza kama yupo mtu anaamini kupata mafanikio ni kwenda kumpa mtu pesa na kuwekewa mikono kisha kuvuta shuka akisubiri miujiza badala ya kwenda kufanya kazi kwa jasho na damu huyo/hao wanabaki kuwa MISUKULE!!!Mbona huwashangai wanaospend pesa kibao kupanda ndege mpaka Mecca Saudi Arabia na kulipia pesa kibao kwenda kumpiga mawe shetani ambaye haonekani? Hapa mjinga na misukule ni IPI?
Dhihaka za kijinga acha mwenetu. Mizaha baki nayo kwenuSadaka yako tutaipataje,
Watu akili zao zimejawa Kumiliki wa hela ktuoa au kuachi n ngumu kwao.usisahau sadaka jiconnect ineneee kabla ya kutuma
Onesha mzaha au dhihaka hapo iko wapiDhihaka za kijinga acha mwenetu. Mizaha baki nayo kwenu
Punguza shoboOnesha mzaha au dhihaka hapo iko wapi
Uko bleed??
Jibu swali uko bleed?Punguza shobo
Kaza nati Dishi elekezea mjiniJibu swali uko bleed?
Sawa oga uvae pedi ulale,Kaza nati Dishi elekezea mjini
Ujovili mlongo, cha bwina kabisa kabisa.....Dini ni muhimu Sana zinasaidia kuleta amani na kutuliza mioyo lakini haziwezi kuondoa matatizo.kama huna Hela huna tu hata uhamie kanisani jibu ni kufanya KAZI Kwa bidii
we dogo ye34nbe mjinga sanaSawa oga uvae pedi ulale,
Unadhan kila mtu mama ako sioSawa oga uvae pedi ulale,