Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Tanga, Lindi, Mtwara, Bukoba, Pwani, unajilia vitu naturali kabisa, so tasty na very tasty!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa Mkoa gani una hiyo iliyojaliwa TASTE.
Nenda sokoni katiti kiatu mviringo ndizi nyanya kutoka Kilimanjaro uone bei zake au uonje katiti ya Kilimanjaro uone utofauti mkubwaNaomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Kuna Togwa na Mtogwa.. Togwa ni tamu sehemu nyingi inatengenezewa Mahindi ila nayo ikichacha inakua Pombe.Hapanaaa
Mtogwa ni ulanzi ambao haujachacha. Labda kama karekebisha aliandika Mtogwa. Togwa na Mtogwa ni tofauti 😁Togwa inapikwa,, ulanzi unagemwa kwenye mianzi,,,komoni sjajua inaandaliwa vip😄 ila sio kitu kimoja
Umasaini,kuanzia nyama ya ng'ombe wa kienyeji, maziwa yanayohifadhiwa kwa kijiti cha dawa kwenye kibuyu, mafuta ya samli, Asali na dawa za mitishamba kwa 100%Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
😂Karekebisha bas m nmeona togwaMtogwa ni ulanzi ambao haujachacha. Labda kama karekebisha aliandika Mtogwa. Togwa na Mtogwa ni tofauti 😁
Wewe unatumia hizo 😂😂Karekebisha bas m nmeona togwa
nmewahi mara moja tu zote mbili,,ila huku ndo kinara😂Wewe unatumia hizo 😂
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo
Upande wa mboga mboga vp😆😆Ingekua ni jangwa wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Karanga,Mtama,Uwele,Rosella,Tende,Ufuta,Mbaazi n.k.
-Umewahi kusikia soko la kimataifa la Mahindi+ nafaka Kibaigwa
nina kaplot huko balangdalalu na vihekta kadha vya shamba, ni pazuri tu kwakweli 🐒
Hongera,babu yangu alikuwaga na eneo huko nyerere akalitaifishanina kaplot huko balangdalalu na vihekta kadha vya shamba, ni pazuri tu kwakweli 🐒
Ngija nikurahizishie mikoa yote zinazo buruza mkia kwenye pato la taifa ndo utapata vitu asili isiyo na kemikaliNaomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Zamani nilidhani mkoa wetu wa Tabora Iła Lindi naona ni kila kitu kwa kweliNaomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Mmh Sidhani mbona me niko lindi naona jau tuZamani nilidhani mkoa wetu wa Tabora Iła Lindi naona ni kila kitu kwa kweli