Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Katika kutembea kwangu Tabora iwe ya kwanza namba moja kabisa kuna maziwa og na asali, viazi vitamu na karanga bila kusahau mihogo, mlenda wa kusaga nimeumiss, afu Tusiisahau Tanga kama Tanga ùkienda muheza utakutana vitu asilia kama mdalasini, n.k ......
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Nenda sokoni katiti kiatu mviringo ndizi nyanya kutoka Kilimanjaro uone bei zake au uonje katiti ya Kilimanjaro uone utofauti mkubwa
 
Kuna Togwa na Mtogwa.. Togwa ni tamu sehemu nyingi inatengenezewa Mahindi ila nayo ikichacha inakua Pombe.

Mtogwa ni neno lingine sawa na UlanziMtamu ndio unaitwa Mtogwa; yaani Ulanzi ule ambao bado haujachacha. Ila Ukichacha ndio utaitwa M-kali au Mkangafu.

Labda unipe tofauti ya Ulanzi na Mtogwa

Achana na Togwa mana hicho ni kitu kingine kabisa.
 
Togwa inapikwa,, ulanzi unagemwa kwenye mianzi,,,komoni sjajua inaandaliwa vip😄 ila sio kitu kimoja
Mtogwa ni ulanzi ambao haujachacha. Labda kama karekebisha aliandika Mtogwa. Togwa na Mtogwa ni tofauti 😁
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Umasaini,kuanzia nyama ya ng'ombe wa kienyeji, maziwa yanayohifadhiwa kwa kijiti cha dawa kwenye kibuyu, mafuta ya samli, Asali na dawa za mitishamba kwa 100%
 
Kila mtu asifie kwao..
Kilimanjaro
Mtori / Kiburu
Ndizi nyama / Maharage
Makande /Ngande

Kilimanjaro kivyovyote.
 
Manyara,zamia Mbulu,Hanang,Karatu na hata Babati mjini utakuja kunishukuru...
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo

😆😆Ingekua ni jangwa wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Karanga,Mtama,Uwele,Rosella,Tende,Ufuta,Mbaazi n.k.
-Umewahi kusikia soko la kimataifa la Mahindi+ nafaka Kibaigwa
Upande wa mboga mboga vp
Hayo mazao yote uliyotaja yanahimili ukame kidogo
Labda kwa upande wa kondoa kdg ukame hauko sana

Ova
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Ngija nikurahizishie mikoa yote zinazo buruza mkia kwenye pato la taifa ndo utapata vitu asili isiyo na kemikali
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Zamani nilidhani mkoa wetu wa Tabora Iła Lindi naona ni kila kitu kwa kweli
 
Back
Top Bottom