Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Mimi nimesoma Karatu, huko hakuna la maana yani ni hovyo hovyo tu. Mashamba na maeneo makubwa ya estates wanamiliki wazungu, mahotel ya kitalii wanamiliki wazungu na wanao kuja ku-spend ni hao hao wazungu. Watu wamedhoofu sijui ndio miili yao ipo hivyo hakuna mishe mishe zaidi ya kuuza maji kwenye ma-bus na kulima vibarua. Vumbi tupu
 
Mji wa kitaliii [emoji848]na umaskini tena!

Hapo inakuwaje sie ambao tunapaskia tu mnatuchanganya yani[emoji23]
 
Mji wa kitaliii [emoji848]na umaskini tena!

Hapo inakuwaje sie ambao tunapaskia tu mnatuchanganya yani[emoji23]
wanatuchanganya sana tena,Arusha inavyoimbwa kwa utalii alafu nakutana na uzi kama huu nachoka kabisa.
 
Hii dhana ya kuwa na mifugo mingi huwa inanishangaza sana, yaani hata kuuza ng'ombe mmoja apige bati anaona soo
 
Katoro,Runzewe,Kahama[emoji1666]
 
Hii dhana ya kuwa na mifugo mingi huwa inanishangaza sana, yaani hata kuuza ng'ombe mmoja apige bati anaona soo
Bora kuuza ng'ombe na kununua bati,kutibu ng'ombe na mtoto wake (binadamu) anapata wakati mgumu kufanya maamuzi nani atangulie kupata tiba[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hahahah mbona watu wa karatu wanaishi vizuri tuu nyumba nzuri pia zipo.
Wawekezaji wa kutosha na mahotel sasa huo umasikini upo wapi?
nimesoma karatu pia.
 
Wewe unaleta mapenzi mkuu
 
Sema watu wa Arusha kwa kelele [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu sasa hapa umezidi
 
Arusha huwezi fananisha na hiyo mikoa yenu takataka....hizo wilaya umezitaja zote za Longido, Monduli, Loliondo, Ngorongoro ni wilaya za wafugaji ( wamasai), ambao maisha yao ni ya kuhamahama...ajabu nini sasa? Acha kuaminisha watu uongo
Maskini zimejaa Arusha, naamini huu ndio mkoa wenye uswahilini nyingi nchi nzima. Atown ni mjini tu huko kwingine ni takataka, hakuna la maana
 
Sema Tanzania nzima ni nchi maskini sana.Nchi yote iko na shida mbalimbali sasa sioni sababu yakuizungumzia kiubaguzi kimikoa au wilaya wakati nchi nzima ukitoa daresalam kidogo, uko kwingine ni umaskini wakutupa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuambie Mkoa Tajiri ni Upi Sasa kama Arusha ni Masikini?
 
Kiufupi Tanzania ni nchi masikini mno kwanza tunamadeni kibao.. na inajulikana umasikini/ufukara huo unasababishwa na wakina nani? RAIA tu wazembe wa kuchukua hatua.. amkeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…