Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Nimeishalitahadharisha hili jambo, yaani wajichanganye hao viongozi waingize ukabila kwenye hili sakata, mwisho wake utaonekana tu.
 
Wahangaza na wasubi si huwa mnawaita nyamahanga, leo wamekuwa watamu ? Tulieni sindano iwaingie, Chato lazima iwe mkoa
Mnyamahanga ni wewe, hakuna muhaya anayemuita mwenzake mnyamahanga. Wametunyonya miaka nyingi na wao, kwahiyo lazima NICKEL itunufaishe sote.
 
Magufuli hakustahili kabisa kuwa rais hata hivyo tushukuru baadhi ya mambo hakufanikisha kama alivyokusudia vinginevyo ingeleta shida sana huko mbele na moja ya mambo hayo ni kule kuonesha upendeleo wa wazi nyumbani kwao Chato, Mheshimiwa Samia anatakiwa aachane kabisa na hiyo mipango ya kuifanya Chato kuwa mkoa kwani ni mawazo ya kipumbavu.
 
Povu kama lote domo zito linatema till,na sura lake la kirundi.
Kwanza warundi hao serikali iwarudishe kwao haraka, tukiwapa mkoa wao kuna siku watataka kujitenga, Serikali ijichanganye iwape mkoa wao hao wakimbizi mbeleni huko itaisoma namba, tujifunze kilichotokea Congo ni hayo tu.
 
Lowasa kwao monduli na monduli ipo Arusha.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe shida ni wahaya kulpiza kisasi kwa magufuri kwa kuwa aliwtania sana?ndo maana manatafuta sbb zisizokuwa na miguu wala mikono
Acha ushamba kama wa Magufuli, zuzu na kichaa kama yeye
 
..Mwenyekiti Halmashauri ya Chato.

Hawa watu wanachuki kubwa sana na watu wa Kaskazini. Hapo ameona atolee mfano wa Arusha na Moshi. Kwa nn hakusema Kibaha to Dsm ambayo ni km 30 au Mbeya to Songwe km 73? Chuki itawamaliza hawa watu wa Chato wana chuki hadi wanatia kinyaa.

Haitapendeza ccm kuwapa wabaguzi kama hawa nafasi ya kugombea tena uongozi 2025
 
Magufuli alikuwa mbinafsi na chuki kubwa dhidi ya wahaya kwa sababu ya historia yake yenye utata. Nashangaa watu wanaojiita viongozi kuendeleza upuuzi wa marehemu wakiamini anawaona na anafurahia akiwa kaburini
Nyinyi wahaya ndo wabinafsi sana! Kwanza hata hizo wilaya mnang'ang'ania hazina wahaya wengi wengi ni watu wa huko na wahamiaji kama wasukuma!
 
Hawezi kuiacha ng'oo Chato lazima uwe mkoa utake usitake!
 
Why Kagera isimegwe?

Yaani kuna hoja gani ya msingi Kagera isimegwe?

..kwasababu ipo mikoa mingine ambayo inaweza kitoa maeneo makubwa ya kutosha kuunda mkoa wa Chato.

..pia mvutano na malumbano baina ya wanaotaka kagera imegwe vs kagera isimegwe unatishia umoja wetu wa kitaifa.

..Zaidi, lengo ni kuunda mkoa wa Chato, sio kuumega au kuugawa mkoa wa Kagera.
 
Kama hitaji la mkoa kisheria linakidhi.
1.Makao makuu yawe nje ya Chato.
2.Jina la mkoa liwe nje ya Chato.
Ugomvu wote ni marehemu.
Angekuwa hai hata mkuu wa mkoa angekuwa tayari yupo Chato na hakuna wakubisha.
Jiji la Dodoma nani alijadili
Magufuli alikuwa na hidden agenda nafikiri kama Kagera itakatwa kukidhi matakwa ya hao warundi wa Chato usishangae na madai ya Iddi Amin kuwa baadhi ya eneo la Kagera ni sehemu ya Uganda.
Mama SSH usijiingize kwenye mtego wa kuleta mfalakano.watu wameishakutafutia downfall wake up.Zika kabisa agenda ya Chato hadi 2025.
 
Aese na wewe ni mtanzania? Chato ushawahi kufika? Au unaropoka tu hapa?
 
Tukubaliane kwanza serikali ijenge tawi la Chuo kikuu cha Dar es salaam mjini Bukoba,,Ijenge stend bora ya mabasi,soko la kimataifa na Ukarabati mkubwa wa barabara za Manispaa vikikamilika hivyo vitu tutawaruhusu wachukue Ngara ila siyo Mleba,,,Ngara na baharamulo chukueni tu baada ya kujenga hivyo vitu ila Mleba hatukubali iende Chato hapo mtakuwa mnataka ugomvi
 
Samia akikubali asikanyage kagera kuomba kura,,,,,Magufuli alitaka mgodi wa Kabanga Nikel usiinufaishe kagera,,,wanabukoba tunataka kwanza serikali Ijenge chuo kikuu bukoba mjn,stendi bora ya mabasi,soko la kimataifa,ukarabati wa barabara za manispaa,Ijenge barabara ya Kanazi-izimbya,kanazi-kyaka kiwango cha lami baada ya hapo wachukue Ngara na Biharamulo ila siyo Mleba sababu mleba ni ukamilisho wa kabila bora la wahaya wenye koo zao mbalimbali.
 
Hoja yako ya maeneo mengine nakubwa ambayo yanaweza kutoa mkoa nje ya Chato naikubali ila hoja ya watu wengine hawataki mkoa wao ugawanywe hao ni wapumbavu kama wapumbavu wengine.

Ardhi ni mali ya serikali, sio ya kabila ama mkoa fulani, serikali ikiamua kugawanya hayo maeneo hakuna anaetakiw akupinga.

Mkoa wa Kagera kugawanywa wala haiharibu umoja wetu wa kitaifa, ni watu wapumbavu tu wanaong'ang'ania eti mkoa wa Kagera usigawanywe.
 
Nyinyi wahaya vilaza sana! Si kila siku mnajisifu mnamaprofesa wengi? Yaani mnakuja kuzidiwa na miji midogo kama kahama na geita? Yaani kusema kweli mnasikitisha sana mlipaswa muwe kama wenzenu wa kilimanjaro ila sasa habari yenu ishaisha huo ukanda miaka ya nyuma mliutawala, Wasukuma sasa hivi wananunua maeneo yenu na wanacontrol uchumi angalia mfano Katoro kwenda mpaka muleba! Hata mabasi kwenda huko bukoba mengi ni ya wasukuma! Popesni sana!
 
Aese na wewe ni mtanzania? Chato ushawahi kufika? Au unaropoka tu hapa?
Chato ilikuwa sehemu ya manamba miaka ya 50 na 60 waliotokea nchi za jirani wakitafuta green pastures wakifanya kwenye viwanda vya kuchambua pamba na kazi mbali mbali kama vibarua.
Machafuko kwa nchi za Rwanda ,Burundi Congo ilileta wakimbizi wengi waliotafuta usalama wao na mapato vile vile.
Hata Mwalimu Nyerere alikuwa very silent kwa wahutu na watusi hao,ndio sababu kubwa ya Tanzania kuchelewa kuwa na kitambulisho cha taifa.
Lakini vuu Mwalimu Nyerere Alistaafu wakazi walio wazawa walitoa malalamiko hasa kwa watusi na kweli ilipita sekeseke wakarudishwa makwao japo hawakuondoka wote.
Mara kaja chuma cha pua mwanajeshi Kanali Jakaya Kikwete kwelo he was game changer wameondolewa wengi mnoakitumia makamando wa kijeshi salute zote.
Lakini alipomaliza muhula wake kaja JPM mwanzoni walio wengi hatukumuelewa kumbe yule ni kuwa uraia na uhalali watu wa nchi za jirani wapewe ujalali sio tu wa kuishi lakini wakutawala nchi yetu.Na take from me mkoa wa Chato si bahati mbaya itakuja kuwa nchi kama Burundi au Rwanda.Ndio sababu ya huyo mwendazake alifanya vitu vya mkakati.Endelea kusifu lakini hidden agenda ndio hiyo.CCM kumbe wana poor Intelligence, Kikwete Saudia Mama
 
Hivi we mnyamahanga ndo wa kuja hapa kuiponda Kagera amabayo ina watu wenye maisha bora hapa tz,,,Kama mnataka hizo wilaya zilizojaa warundi Ngarana Biharamulo ila kwa mashariti tajwa,,,Mleba muachane nayo chukueni hao warundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…