Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Hawawezi kuupata huo mkoa intelligence yetu ni imara sana, yaani mkoa uwe wa wakimbizi tu, waje watake kujitawala au kurudi Burundi na Rwanda yawe yale yale ya Tigray na vile wamepata madini, inakuwa rahisi kupandikizwa hao.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Vilaza na nyinyi, mlioishia kulala na ng'ombe mazizini, na mumetutibua tutawaswaga na kuwarudisha kwenu mkale vumbi la migodi yenu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Haya uliyoyaandika ni mawazo yako, kwahiyo na wewe kwa mawazo yako haya uitwe mpumbavu au

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wajaribu kuimega kagera, CCM 2025, hawataambulia jimbo hata moja, na najua kama wataamua kuumega mkoa mpaka uchaguzi upite.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni uchache tu wakutokutaka kupanga watumishi na watendaji wengine katika hilo eneo lipya, kwani Mkoa mpya ukianzishwa si utarahisisha utoaji wa huduma kwa jamii haswa kupunguza umbali mrefu
 
Yeah lazima wafanye hivyo kwanza, wameitelekeza kagera kwa kila kitu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wakubali tu wajenge chuo kikuu bukoba,stend bora,soko la kimataifa,barabara za manispaa ziboreshwe,Barabara ya Kanazi-izimbya na kanazi- kyaka hapo hata wakitaka wachukue tu Ngara na Biharamulo ila Mleba ibaki Kagera ile ni alama ya Mhaya
 
Wakazi wa Chato wasukuma, Ngara wahangaza, Biharamulo wasubi na wasukuma, Bukombe wasukuma na wasumbwa. Sasa hao warundi wnakaa wapi ? Acheni kupotosha umma.
 
Ni matokeo ya ubinafsi na uoga wetu uliokithiri. Leo ni chato lakini kesho atatokea mwingine atakayetaka kumega sehemu fulani ili iwe na status fulani kwa interests zake na kwa sababu ya madaraka aliyo nayo. Watanzania amani ndiyo kitu pekee cha kwanza na cha muhimu tunachohitaji. Tusikubali kuichezea
 
Hahaha kumbe wewe ni inshomile? Kelele nyingi mtaani hamna kitu! Mshabaki kama mataahira! Mkoa unaanzishwa mzee nenda kalale kama unahasira!
Huo mkoa wa burundi anzisheni tu ila Mleba achana nayo na mashariti mengine yazingatiwe,chuo kikuu kijengwe bukoba,stend,barabara za manispaa,soko la kimataifa,barabara ya kanazi-izimbya na kanazi- kyaka ijengwe
 
Wakazi wa Chato wasukuma, Ngara wahangaza, Biharamulo wasubi na wasukuma, Bukombe wasukuma na wasumbwa. Sasa hao warundi wnakaa wapi ? Acheni kupotosha umma.
Wewe waache wabaguzi sana hawa! Ila tushawaweza kama shule na wasukuma wamesoma! Kwenye biashara na madini ndo usiseme pia kilimo! Ngoja watanyooka tu!
 
Warudishe tu nchi iwe na mikoa kumi tupunguze serikali. Wilaya ziwe na huduma zote muhimu.
 
Huo mkoa wa burundi anzisheni tu ila Mleba achana nayo na mashariti mengine yazingatiwe,chuo kikuu kijengwe bukoba,stend,barabara za manispaa,soko la kimataifa,barabara ya kanazi-izimbya na kanazi- kyaka ijengwe
Kama mlishindwa kujenga miaka hiyo huku mlijiona mmesoma nani awajengee? Akili mukichwa! Kama ukatoliki ulianzia kwenu lakini wakajenga chuo kikuu SAUT mwanza mlikuwa wapi? Ulimwengu huu watu walioamka kutafuta fursa kila mahali unalialia hapa! Kipindi nchi imelalala ndo ulikuwa wa kufanya vitu hivyo saizi sahau!
 
Mnatumia serikali kuididimiza kagera nakuapia nguvu inayotumika kuinyonga kagera ingetumika dhidi ya Mikoa dhaifu hiyo Mikoa isingekuwa hata kwenye ramani,,,Kagera ni mkoa wenye watu welevu sana inahitaji akili kubwa kudeal nao
 
Tutadai mamlaka kamili sasa ili tujenge jamhuri yetu usilete ujinga hapa,,,acha kuchochea ujinga tuna hasira ujue
 
Mnatumia serikali kuididimiza kagera nakuapia nguvu inayotumika kuinyonga kagera ingetumika dhidi ya Mikoa dhaifu hiyo Mikoa isingekuwa hata kwenye ramani,,,Kagera ni mkoa wenye watu welevu sana inahitaji akili kubwa kudeal nao
Wajichanganye waone, miaka yote Serikali imeitelekeza Kagera kama vile sio sehemu ya Tanzania, kama wanataka kututenga tutadai mamlaka yetu mbeleni huko. Kagera ndiyo mkoa dume tu Tanzania nzima, mkoa umepigana na kila aina ya majanga Ila bado umesimama na unawatetemesha watawala.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wewe hujuhi chochote kuhusu KAGERA, jadilini mkoa wako.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…