The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Naona umeamua kua mtabiri sasa,Sio kweli mazingira yanatengeneza fursa na ndioomaana wewe usikute unaishi Dar
Siku ikitokea wachina wakaenda huko Tabora na kuibua fursa,kwakuwa ni jiji lenye fursa ya kiuchumi kwanini usiende urambo
Hapo sikupingi serikali inauwezo wa kuufanya mkoa wa Tabora uwe wa viwanda sio lazma uchumi utokane na kilimo pekee , tunahitaji visionary leader wa kui boost TaboraNaona umeamua kua mtabiri sasa,
Siku ikitokea wachina wakaenda huko Tabora na kuibua fursa,
Yataanza kuja malalamiko humu kua wachina wanachukua ajira zetu!
Absolutely 💯 waarabu waliwaambukiza uvivuNi sehemu iliyo kaliwa na warabu kwa mda mrefu ikawa na maendeleo zaidi ya kuamka asubuhi kwnd kunya kahawa na kashata
Tuchukulie mfano wa mikoa kama Dubai UAE au Doha Qatar,Absolutely 💯 waarabu waliwaambukiza uvivu
Tunao wazungumzia ni waarabu wa miaka ile waliokuja kwa biashara za utumwa na mafundisho ya dini hao wa Dubai ni wasikuhizi walio elimikaTuchukulie mfano wa mikoa kama Dubai UAE au Doha Qatar,
Je ni mkoa gani Tz ambao sio wavivu wana utajiri kuliko hiyo mikoa ya hao waarabu?
Yani mpaka miaka hii bado tu mnatafuta wakumtupia lawama?
Kwa hiyo, hiyo mikoa uliyoitaja kua haina maendeleo kisa waarabu,yenyewe bado inakaliwa na watu wale wale wa miaka ile? hakikuja kizazi kingine?Tunao wazungumzia ni waarabu wa miaka ile waliokuja kwa biashara za utumwa na mafundisho ya dini hao wa Dubai ni wasikuhizi walio elimika
Nimeishi Tabora kusema ukweli mkoa bora sana kwangu kwenye utafutaji ni Tabora huu ujinga wa kusema Tabora pagumu sijui mmetoa wapi yawezekana wewe ulienda kwa biashara ya ukahabaNilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.
Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Hao ndiyo wajinga wanapenda mserereko aisee kwangu Tabora utabaki mkoa bora sana kwa Tanzania hiiMama yangu anachukua karanga na asali kutoka tabora anauza mwanza na ana pesa ya kueleweka! Msidharau mikoa bila kuifanyia research vizuri!
Tabora is the best japo mimi ni wa Mtwara ila Tabora ❤️❤️❤️Unazungumzia wilaya ya tabora au mkoa wa tabora.....?
Unaijua dhahabu...???
Ukipata muda tembelea minada ya tabora na wilaya zake utapata jibu....
We mnyamwezi nimekupiga za uso , kula chuma hichoNimeishi Tabora kusema ukweli mkoa bora sana kwangu kwenye utafutaji ni Tabora huu ujinga wa kusema Tabora pagumu sijui mmetoa wapi yawezekana wewe ulienda kwa biashara ya ukahaba
Wee si mpambanaji umezoe pesa za kuhongwa hapo na show time hapo kanyenye watu wa Tabora hawana hizoHa
Hawezi ukafananisha ruruba ya ardhi ya kigomq na Taborq ni mbingu na ardhi , Taborq hawapo vzr kwenye kilimo
Sio hapo waTanzania ni wajinga sana hovyooNaona umeamua kua mtabiri sasa,
Siku ikitokea wachina wakaenda huko Tabora na kuibua fursa,
Yataanza kuja malalamiko humu kua wachina wanachukua ajira zetu!
Mazoea ujenga tabia , walizoeshwa hivyo wamejikuta imekuwa tabia sugu, ndugu yqngu sina chuki na Mkoa wa Tabora jiulize kwanini nimeacha kuitaja mikoa yote ya Tanzania niutaje mkoa wa Tabora , nakuomba utembelee kule utajioneq hali ya umaskini iliyopoKwa hiyo, hiyo mikoa uliyoitaja kua haina maendeleo kisa waarabu,yenyewe bado inakaliwa na watu wale wale wa miaka ile? hakikuja kizazi kingine?
wao hawakutaka kuelimika na kubadili maisha yao?
Mnyamwezi tulia usi panic kwa matusi hoja hujibiwa kwa hojaWee si mpambanaji umezoe pesa za kuhongwa hapo na show time hapo kanyenye watu wa Tabora hawana hizo
Nafikiri hata huelewi unacho kijadili hapa,mimi hapa najadili sababu uliyoiweka eti kisa waarabu! sababu yako haina mashiko kabisa,Mazowea ujenga tabia , walizoeshwa hivyo wamejikuta imekuwa tabia sugu, ndugu yqngu sina chuki na Mkoa wa Tabora jiulize kwanini nimeacha kuitaja mikoa yote ya Tanzania niutaje mkoa wa Tabora , nakuomba utembelee kule utajioneq hali ya umaskini iliyopo
upo nyuma kivipi? hebu toa ufafanuzi,pia unasema umepoa kwa ushahidi gani? Tuelezee ili tukueleweNilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.
Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Anazungumzia wenyejiMama yangu