Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Hapana , kwa tabora nafikiri umechemka vibaya sana kubali kurusha taulo tu , kushindwa sio vibaya
Nimefanya vlog ya mkoa wa kigoma ipo YouTube , hivi karibuni nita i post na ya Tabora utalinganisha
 
Kwani umeona wa Tabora anaishi kwenye malengo ya nani kama sio yake?

Dar inaongoza Kwa idadi ya mafukara Tzn.
My brz sina chuki na Tabora lakini ukweli ni kwamba ili Tabora iinuke kiuchumi ni kuufanya uwe mkoa wa viwanda nje ya hapo ni ngumu kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…