Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

Unataka ugawe mkoa ili wakuu wa mikoa waongezeke, Wananchi tumechoka kuwa na wakuu wa mikoa wa ajabu ajabu
 
Toa takwimu za mkoa kuhusu eneo lake, idadi ya watu, miundombinu ya usafiri (barabara, reli na ndege) na maeneo ya hifadhi (Misitu na wanyamapori) kupata ulinganifu na mikoa mingine yenye sifa kama za mkoa wa Tabora
 
Toa takwimu za mkoa kuhusu eneo lake, idadi ya watu, miundombinu ya usafiri (barabara, reli na ndege) na maeneo ya hifadhi (Misitu na wanyamapori) kupata ulinganifu na mikoa mingine yenye sifa kama za mkoa wa Tabora
 
Mkuu sisi tunaanzia hapa tulipo achiwa halafu tunaendeleza huko nyuma watu pia walikuwa na akili na busara zao ndio maana wakafanya walioyafanya na mambo yakaenda, sisi tuanzie hapa tulipopakuta
 
sawa mkuu
 
Kwa akili ya chama hiki tusubir ugawanywe wazidi kutengenezeana ajira wao kwa wao
Ajira ni kazi pia ya serikali, kuhakikisha inapanua wigo wa ajira lakini pia wananchi watanufaika
 
una akili sana.
 
Tuigawanye Tanzania sio mikoa ili tuchague raisi wetu huyu aliopo mbaki naye huko Magogoni.
 
Mkuu mara ya mwisho kufika Tabora ni lini? maana inawezekana hata ulifika au haujatembelea mkoa wote
Naifahamu Tabora yote boss nje ndani.
Nilishawahi pia kuishi kaliua kipindi cha miaka 2 iliyopita; kuna vijiji kama mwendakulima, bunyahyulu (barabara ya 13), imalanguzu, mwamnange n.k
Ninachokijua kuna idadi ya watu ni wengi japo sio sana.
Ila maeneo yote ya Tabora kwa asilimia kubwa ni mapori brother kwa uhalisia.
 
Mkuu mara ya mwisho kufika Tabora ni lini? maana inawezekana hata ulifika au haujatembelea mkoa wote
Kwani uongo bwana? Asilimia kubwa ya mkoa wa tabora ni hifadhi ya misitu, haya kuanzia hapo itigi, kupitia tura, hadi tabora vijiji viko vingapi, kulinganisha na mapoli?, anzia tabora kwenda kahama kupitia, mwambani, bukene, anzia tabora kwenda katavi, kupitia ipole, ipole kwenda mbeya kupitia chunya, bado urambo kwenda kigoma?!!!
 
Mboka yetu.
 
Huo ndio ukweli mkuu!! Full mapoli, mimi nikiwa naenda huko huwa naaga wenzangu kuwa naenda poli tengefu!!!
 
Hayo machimbo yanaingiza mapato gani ?

Serikali yakijima imeharibu zao la tumbaku ikaleta pamba bila hata kufanya utafiti watu wanalima pamba haikui wadudu wakutosha
Nzega kuna machimbo ya madini, Igunga, uyui, urambo kuna kilimo cha pamba na Tumbaku, kama hivi vikiwekezwa kwa uhakika kuna kitu kitafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…