TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Sahihi sana. Bado sio sahihi kwa mtu mkubwa kama huyu kusafiri usiku wa manane, why? Tena njia ya mbugani? Very sad. Mashirika mengi ya umma yaende yakajifunze kampuni binafsi, hawaruhusu hili jambo hata kidogo. RIP mkurugenzi wa Tanesco
sasa, tumechoka na hizi ajali, kila mteule wa rais anapoanza safari atoe taarifa kwa ras wapewe vibali na ras amtaarifu rpc, wawe na log book kila wanapovuka mkoa wanaenda kutoa taarifa police wanagongewa muhuri. wengine wanaenda kuangalia mashamba tu kwa kutumiabrasilimali za umma
 
Hakuna Uchawi bali zipo Negative Energies na Postive Energies !
Zile Negative ones zinashamiri zaidi kwenye giza !
 
Ndio,kwa mujibu wa RPC na namba ni EH....
sie wengine tunakokota michuma wenyewe dar tabora uvinza kazuramimba kigoma ujiji, njiani unahemea ubuyu miiko mafuta ya alizeti mikeka nyanya vitunguu maboga hadi unafika gari imejaa ka meza ya soko la kisutu, unaenda unasalimia na wajomba, dar kigoma wiki nzima,

mzee jaramogi udinga alikuwa anatumia wikimbili kutoka kisumu hadi kericho
 
Naunga mkono hoja πŸ™
 
K
we tatizo sio kusafiri usiku bali Speed ndio shida na hasa hasa usiku !
Sisi wengi tumeendesha sana hata malori Usiku, ukiwa unajali na kuchukua tahadhari hakuna shida kabisa,
Lakini mtu akijifanya ana haraka sana usiku huyo iko siku yatamkuta tu !
 
Mkuu umenena kisawasawa.
Miaka yahivi karibuni mawaziri wamejigeuza kuwa watendaji, na hili ni tatizo kubwa.
Watendaji viongozi wataendelea kufa kwa kuitwa ghafla sehemu yoyote nchini mradi waziri fulani yuko huko.
Mawaziri wanawaua watendaji.
 
Sidhani kama umenielewa ,mkuu wa kitengo anapata posho ya Ndege ...unataka kusema anapata chini ya 250k kwa siku?
Leaders scale kwa wale mabosi wa serikali ni around 200k/day. Yet inategemea yuko mjini, jijini au manispaa but haivuki 250k kama nakumbuka vizuri. Sijui hawa wa taasisi za umma but sidhani kama kuna tofauti sana.
 
Taarifa ya Tanesco inaandika "aliyekuwa Mkurugenzi..." Labda alishatumbuliwa!
Uhai unapokatika sekunde ni nyingi kibao kinageuka kuwa "aliyekuwa" eg ukisafiri ukiwa hai ni abiria uhai ukikutoka ni mzigo au kwa lugha ya kiingereza ni cargo
 
Si kweli...

Unafanya "generalization"...

Kuna wasio na kadi na wasio wanaCCM...bali nijuacho tu ni kuwa hawajihusishi na SIASA na kubwa "hawapingi maamuzi ya CCM"....

Kwa hiyo kutoipinga CCM ndiyo umekuwa mwanachama kindakindaki ?!!
Nakukatalia. Kuna mtu namjua kabisa, alipata uteuzi( siyo na rais) nafasi ya kitaifa ya kiutendaji, walipomfuatilia (sijui why kulikuwa na interets juu ya hilo kumhusu) Katibu Mkuu au Waziri wa hiyo Wizara akaamrisha atenguliwe. Alipofuatilia aliambiwa na jamaa yake ambaye ana za ndani kuwa ni ishu ya kadi ya chama hakuwa nayo. Tena hizi za rais ndo sahau kabisa, bila kadi hupewi cheo kama hicho. Nje utaona ni mtendaji tu na anaweza asijihusishe kabisa na siasa, na utumishi wa umma unazuia kujijusisha nq siasa ukiwa kazini maana unahudumia wananchi wote, ila yeye kama yeye lazima awe kijani verified.
 
Kwanini tunalazimisha kutumia lugha ambazo zinatupiga chenga?
Freedom of speech mzee. Wakati mwengine ndio lugha nyepesi kuweza elezea jambo lake. Ishi na kufanya unavyopenda wewe ila abadan usipangie watu maisha. Very poor thinking.
 
Hata siyo baadhi. Ni walio wengi bro
 
Wapumzike kwa amani! Hilo lori ndio limetikiswa hivyo na hiyo V8? Walikuwa mwendo mkali sana?
Yaani hakuna direction hilo lori halijaguswa, kwanza trailers zake zimetenganishwa na zote zimeharibika kwa namna moja au nyingine, na hata kichwa cha lori kimebonyea. Sasa hapo unawaza ilikuwaje hata huwezi kuelewa maana ni surface area kubwa sana imehusika kwa impact ya gari ambayo labda ni 1/5 ya ukubwa wa lori na trailerz zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…