Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

Mwamba ajipe moyo mkuu atawashinda mawakili wa shetani katika kweli ya kizalendo.
Hana sababu ya "kujipa moyo" Anayo HAKI ya kusema anachokiamini bila kujali huko "kushinda" kupitia kwenye njia za mizengwe.
 
Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Mtoto wa kahaba uliyezaliwa kwenye danguro mbwa we we ,watu wamefuatwa majumbani kubakwa na kupigwa risasi halafu unaandika ukuma hapa ,kum@ LA mamako mseng€ wewe
 
Tunazungumzia Serikali siyo nchi mkuu. Viongozi wa Serikali ndio waliopewa mandate na wananchi kwa kufuata sheria na kanuni zake.
Pumbavu wewe ,Tanzania Ina serikali tangu lini ? ,imechaguliwa na nani ? ,lini ? Kwa uchaguzi upi? ,Zwazwa
 
Aisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Mkuu nielekeze na mie nahitaji shamba la mikorosho
 
Uzalendo kwanza maswala. Ya maslahi alafu bado nchi inavuja ufisadi na ukosefu wa utu ni 🚮
Msishabikie vitu wakati anaeumia ni mwingine
Sasa amejfunza kutofautisha hisia na uhalisia
Fikiria kazi aliyokuwa nayo serikalini, dili za hapa na pale na hivi yuko NIDA
halafu leo hii aanze kuzunguka na bahasha kutafuta kazi, na kama wakimfukuza hapati tena kazi seriklini, sasa anaenda kutumikishwa na mkoloni wa kibongo
Hapana kwa kweli
 
Siyo kwamba Penalty ya Summary Dismissal ilishafutwa kitambo,haitumiki Kwa sasa Mkuu?
 
Siyo kwamba Penalty ya Summary Dismissal ilishafutwa kitambo,haitumiki Kwa sasa Mkuu
Samia bado ana hasira na sisi Wasukuma sijui tumemkosea nini. Katuulia Magufuli na bado anatuandama
Mme kuwa Waswahilina Mkuu.Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu,mlipatiwa Pikipiki na Baisikeli za SSH-nyingi sana na kwenye Mikutano ya Kampeni mlikuwa Mnajaa pomoni na kedekede mkiahidi mnatiki OKTOBA-29,badala yake MKATOKA na kura hamkwenda kupiga ,mkaenda kuchoma vituo vya kupigia kura mkidai tume huru....hatumtaki Samiaaaa...Aisee..Mpaka ndani ndani kuleee Katoro,Chato,Kahama na kwingineko ilikuwa noma tupu.
Samia sasa ana gubu mno.
Wasukuma mmejanjaluka..Hakuna tena- nduhu Makoye-wala -Maguzu Masese-na Mnapenda CHADEMA.
Ni hayo tu Mkuu
Sasa si ni maoni yake kwenye group la mambo binafsi na wenzake Ma Alumni wa SHYCOM huko..kwani lilikuwa group la Kiofisi laViongozi wa NIDA?Wivu na Fitina tu ukichimba hapo
 
Kuna ushahidi gani kuwa aliyeandika hayo ni yeye?
Wewe sasa unaenda kwingine huko,Fikra Pevu kama zako Poli- CCM haziruhusiwi..wale. ni Mbwa tuu -kamataaaa- wanatii na kuandaa kesi zisizo na kichwa waka miku.ndu..yaani hazinyi kabisa.Amini mwisho wa hili sakata uchwara..huyu Mwamba ataibwaga Jamhuri Mahakamani huko na atalipwa na fidia na kurejeshwa kkazini kisha atashushwa cheo na kupelekwa Zanzibar kuleeee.
 
Mara zote wasukuma wamenyooka hawapindishi
 
Iko kwenye sheria mpya ya utumishi
Wa Umma. Hata kosa la kupigana kazini wote ni summary dismissal with no right to appeal.
P
Je Sheria za Utumishi wa UMMA na SEKTA binafsi kuna sehemu huwa zinatofautiana?
Mbona Sekta Binafsi nilimtwanga mingumi chawa Mmoja akang' oka magego mawili ni kaenda Disciplinary Hearing nikawa :Terminated'.?
Baada ya siku mbili ni ka- appeal na adhabu ikapungua Ikawa Final Written Warning na Life Linasonga tu?
 
We j

We jamaa umeongea Cha maana sana. Huyo mwamba kwa asili ya U-kipenyo wake hakutakiwa kuropoka yote hayo. Huo mfumo uko loyal kwa walio juu kuliko kawaida. Amejichanganya ataishi kwa misukosuko sana.
Huyo ni shujaa anatakiwa apewe sapoti kwenye kipindi hiki kigum
 
Hatari sana mkuu! Nina group na mapoliccm sasa nawaza namna ya kuyakimbia!
Aliyemchongea ni mume wa.....hata humu sipaamini pia..niko naye Group moja mwana-Shycom mwenzangu..Watoto wa Principal Karo
 
Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Amevunja sheria gani hapo za huo utumishi wenu wa umma?Atakuja kushinda kesi mumlipe mamilioni baadaye.
Labda Samia atawale milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…