Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Alifa Mkwawa, Mzazi aliyepigwa na kitako cha Bastola
Unamaanisha wenye pesa wameanza kujimwambafai?Haya madudu hatukuyaona miaka mitano iliyopita, yameanza tena baada ya watu kushiba.
SahihiAmekosea sana kutumia pistol,anaweza jikuta anapata kesi ya attempting murder.Ila wazazi nao wajue mtu binafsi hajengi shule for charity,kama unataka bure mpeleke mwanao shule za serikali.
Hata kama anadaiwa violence has never been a solution anywhere. bora angemsamehe maana sasa polisi watakula zaidi ya alizokuwa anadai za ada na ikibidi atadaiwa amfidie mzazi kwa kumuumiza.Hapa huruma zinaenda kwa mzazi na kusahau kuwa yeye ni sababu ya mgogoro in the first place. Unamhamishaje mtoto kwenda kwingine huku unadaiwa ada? Ni sawa asome bure?