Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

Nchi ya Ccm mkurugenzi Ccm na uyo mzazi pia Ccm uwo ni ugomvi wa kifamilia utaisha na wala mkurugenzi hawezi poteza chochote labda mzazi ndo atapoteza mda kutafta matibabu
Au vipi
 
Ndio ampige na kitako cha bunduki.

Elimu haipaswi kuwa biashara
Peleka mtoto shule za serikali toka mwanzo.
"Kama unaona elimu ni aghali basi jaribu ujinga" aliimba Banza Stone
 
Back
Top Bottom