Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.

Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amesema tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 mchana maeneo ya shule hiyo iliyopo mtaa wa Mawelewele ambapo chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokana na mtuhumiwa kugoma kutoa uhamisho wa mtoto wa mlalamikaji kwa kile kinachodaiwa kuwa hajalipa ada ya mtoto huyo.

Chanzo: EATV
Tupate taarifa za upande wa pili ili tuihukumu kesi vema
 
Swali la msingi: Kwanini kuna Silaha ya Moto hapo shuleni? Kwanini??
 
Kwisha jeuri yake. Polisi waichukue hiyo bastola asije akaitumia kuua huyu kenge.
 
Kama kawaida yetu wabongo wazee wa mihemko hili tunaruka nalo kimihemuko zaidi.

Iyo shule inamuda gani?
Mkurugenzi ameimiliki siraha kwa muda gani?
Alishawahi kuitumia wapi kinyume cha sheria?
Huyu ndiye mzazi wa kwanza kwenda hapo shuleni?
Zimewahi kuripotiwa kesi ngapi za wazazi kupigwa hapo shuleni?
Nisawa mzazi kumuahamisha mtoto Wakati hajalipa ada?
Mzazi alifika tu shule akapigwa na kitako cha bunduki?
Je mzazi ametaka kutapeli ada?
Je Mkurugenzi amehisi anataka kuibiwa ada ambayo ni haki yake?
 
Je hakuna taratibu za kudai ada?
Kama mzaz alitaka kudhurum, je hakuna njia za kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
Je kama Chengula angeishia tu kusema "sitoi uhamisho", mzazi angepataje uhamisho? Huon kama chengula bado alikua na advantage ya kulipwa pesa yake kwa kugomea uhamisho bila kutumia silaha?
 
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.

Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amesema tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 mchana maeneo ya shule hiyo iliyopo mtaa wa Mawelewele ambapo chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokana na mtuhumiwa kugoma kutoa uhamisho wa mtoto wa mlalamikaji kwa kile kinachodaiwa kuwa hajalipa ada ya mtoto huyo.

Chanzo: EATV
Wamakamate huyo jamaa na kumkata mapumbu au apigwe kipigo cha kufa mtu.
 
Je hakuna taratibu za kudai ada?
Kama mzaz alitaka kudhurum, je hakuna njia za kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
Je kama Chengula angeishia tu kusema "sitoi uhamisho", mzazi angepataje uhamisho? Huon kama chengula bado alikua na advantage ya kulipwa pesa yake kwa kugomea uhamisho bila kutumia silaha?
Kauli yake ya sitoi uhamisho ndio imewafikisha hapo walipofika.
 
Nyie wala mbwa punguzeni mbwembwe
Mbwa mbona mnakula hata Ninyi msio wahehe. Sehemu nyingi Sana wanapouza nyama choma hasa barabarani Kama Mombo mnachanganyiwa na nyama ya mbwa hasa mishkaki yenye mafutafuta.
 
Tumerudi kulekule unanijua unanisikia!
Mkuu Unamkumbuka yule mkurungezi aliyeua mtu kanisani na tena kwa kumfuta kanisani kwake na Hadi Leo hatujui alihukumiwa kifungo gani, hii ilikuwa nadhani mwaka 2019 wakati wa JPM,hili unalisemeaje Mkuu?
 
Je hakuna taratibu za kudai ada?
Kama mzaz alitaka kudhurum, je hakuna njia za kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
Je kama Chengula angeishia tu kusema "sitoi uhamisho", mzazi angepataje uhamisho? Huon kama chengula bado alikua na advantage ya kulipwa pesa yake kwa kugomea uhamisho bila kutumia silaha?
Jamaa anataka kuhalalisha tukio!
Kudhulumu Ada!? Ndiyo upigwe na kitako cha bunduki!?

Hizo silaha hapewi kila mtu nchi hii Kwa sababu maalum!

Angempiga ngumi, mateke hakuna mtu angeona ni habari MPASUKO kiwango hiki!
Ila kushika bunduki na kuitikia hata kama hakufyatua Kwa kesi ya madai, amekosea.
 
LIPA MADENI NDIO UHAMISHE MTOTO.

HUYO MZAZI NI MWIZI KAMA WEZI WENGINE TU.
 
Dadeeeki, Kuna Watu Wana roho ngumu sana, inasemekana Mzazi kaenda kuomba uhamisho wa mwanae basi unaambiwa Mkurugenzi wa hio Shule ambaye ni Diwani wa CCM wa kutegemewa akachomoa bastola akamtwanga jamaa kwa kitako.

This time CCM wasije wakamkana, huyu ni Kada wao na hii ndio tabia yao

View attachment 2228335

View attachment 2228336
Kwa hili naona Kesi itaisha Mapema Asubuhi Sana.
 
Teyari imemgharimu shule yake as we speak,
Kisa mihemko ya pistol....
Kuna kipindi nilianza mchakato wa kumiliki silaha.
Nilipotafakari jinsi Watanzania wengi wamejaa ufala...nikaona hapana nisije kufungwa bure.
 
Kama kawaida yetu wabongo wazee wa mihemko hili tunaruka nalo kimihemuko zaidi.

Iyo shule inamuda gani?
Mkurugenzi ameimiliki siraha kwa muda gani?
Alishawahi kuitumia wapi kinyume cha sheria?
Huyu ndiye mzazi wa kwanza kwenda hapo shuleni?
Zimewahi kuripotiwa kesi ngapi za wazazi kupigwa hapo shuleni?
Nisawa mzazi kumuahamisha mtoto Wakati hajalipa ada?
Mzazi alifika tu shule akapigwa na kitako cha bunduki?
Je mzazi ametaka kutapeli ada?
Je Mkurugenzi amehisi anataka kuibiwa ada ambayo ni haki yake?
Unahusika wewe
 
Back
Top Bottom