Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

Hivi private schools huwa Kuna haja ya uhamisho?
 

Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.

Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amesema tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 mchana maeneo ya shule hiyo iliyopo mtaa wa Mawelewele ambapo chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokana na mtuhumiwa kugoma kutoa uhamisho wa mtoto wa mlalamikaji kwa kile kinachodaiwa kuwa hajalipa ada ya mtoto huyo.

Chanzo: EATV

Duh halafu Kuna mzazi kabisa analipa hela Yake ili mtoto wake aende akasome kwenye shule inayo ongozwa na mpuuzi kama huyu.

Wamiliki wa while za EMs pamoja na walimu wao wana stress Sana ni mzazi asiejielewa tu ndo anaweza kulipia hela zake kwenye upuuzi kama huu.

Joannah njoo uone watu wanao mlea mwanao Junior
 
kitako tu? watu wameanza kushiba had kende zitapigwa risasi chezea ujeuri weye!
 
Polisi wamehalibu chakula ya ubongo,ajabu wa bastola atatoka na wakulima wa dawa miaka30
Umeambiwa ni kada maarufu wa chama tawala! Hii wataambiwa wakazungumze wamalize kesi nje ya mahakama ili kumnusuru bwana NGUVU CHENGULA.
 
Kwisha jeuri yake. Polisi waichukue hiyo bastola asije akaitumia kuua huyu kenge.
Bwana NGUVU CHENGULA ana nguvu nyingi sana. Huyo ni un tuchable muda si mrefu mlalamikaji ataambiwa akazungumze na mtuhumiwa wayamalize nje ya mahakama! Hapo hamna kesi.
 
Bwana NGUVU CHENGULA ana nguvu nyingi sana. Huyo ni un tuchable muda si mrefu mlalamikaji ataambiwa akazungumze na mtuhumiwa wayamalize nje ya mahakama! Hapo hamna kesi.
Hizi shule za Medium hizi zinaongozwa na vilaza
 
Mzazi alipaswa alipe ada au aombe kwa upole.
Hakuna cha bure.
 
Nchi ya Ccm mkurugenzi Ccm na uyo mzazi pia Ccm uwo ni ugomvi wa kifamilia utaisha na wala mkurugenzi hawezi poteza chochote labda mzazi ndo atapoteza mda kutafta matibabu
 
Back
Top Bottom