Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Lisu hawezi kuwa rais kwa shinikizo la vibeberu vyake.

Hawezi.

Nyie wafuasi wake kuanzia 28 oktoba mtaugua vihoro
 
Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibu
Kwendaa usijidai una akili, baada ya kukutetea kwa muda nimeonyeshwa faili lako. Wewe ni mtupu kuliko hata pipa lisilo na kitu. Jinga kabisa, akili sio jambo la kukukua, kama huna huna tu. Wewe akili huna.
 
Ccm awakutegemea kuuona nyomi ,nyomi ufanya kazi ya wizi kuwa ngumu. Yahya Jameih alimiliki Hadi tume anajipangia tu asilimia za ushindi lkn wananchi walipoamua alipigwa na tume yake Barrow akatangazwa mshindi...
Ha ha haa!

Rais alisema Urais ni mgumu kweli kweli. Napata mashaka na kauli hii. Huu urais utakuwa ni mtamu kwelikweli.

Maana kwa kitu kigumu ukimpata wa kukutua moyo hufurahia.

Kwa nini huyu anaugua?
 
Mkurugenzi wa uchaguzi mbona tena unampigia kampeni magufuli kutakua na uchaguzi huru kweli?
 
Huyu Mkurugenzi wa tume Mahela nani amempa usemaje wa Watanzania. Anasema Watanzania wanataka hiki na kile amekutana nao wapi kuwahoji wanachotaka. Kwa taarifa yake jambo la kwanza ambalo Watanzania hawataki na wamechoka nalo ni chama chake cha mapinduzi.
Yey na familia yake Ni watanzania labda ndio aliowahoj zingatia Uhuru wa kujieleza Ni haki ya kikatiba
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!...

Mkurugenzi wa NEC anaonesha wazi kabisa kuwa Yuko pale KUIPIGIA KAMPENI CCM! Hii haikubaliki.

Watanzania sio misukule au mazezeta wa kulazimishwa kukubali matakwa ya CCM,NEC,MSAJILI na Magufuli wao!

Anayosema Lissu yote ni kweli tupu. Hakuna matusi, uongo wala uzushi wowote. Hivi Lissu anapohoji juu ya haya Kuna matusi gani hapa:
  1. VITAMBULISHO MACHINGA.
  2. UWANJA WA NDEGE CHATO.
  3. KWA MIAKA 5 HAKUNA AJIRA YOYOTE.
  4. WAFANYAKAZI KUTOONGEZWA MISHAHARA MIAKA 5.
  5. WAFANYAKAZI KUONDOLEWA KAZINI BILA KULIPWA KWA KISINGIZIO VYETI FAKE.
  6. WASTAHAFU KUCHEKEWESHEWA MAFAO KWA ZAIDI YA HADI MIAKA 3.
  7. VYAMA VYA SIASA KUZUIWA KUFANYA SIASA KWA MIAKA 5.
  8. TUHUMA ZA WATU WASIOJULIKANA KUTOKAMATWA NA SERIKALI...!!
  9. etc, etc.
 
Back
Top Bottom