Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kituWalikosa sababu za kutokumtangaza sasa wanaanza kutafuta sababu za kumdisqualify.
Kwendaa usijidai una akili, baada ya kukutetea kwa muda nimeonyeshwa faili lako. Wewe ni mtupu kuliko hata pipa lisilo na kitu. Jinga kabisa, akili sio jambo la kukukua, kama huna huna tu. Wewe akili huna.Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibu
Hahaha huyo ndiye watanzania tunamtaka. Tundu Lisu tu, Makufuli peleka gerezani.Lisu hawezi kuwa rais kwa shinikizo la vibeberu vyake.
Hawezi.
Nyie wafuasi wake kuanzia 28 oktoba mtaugua vihoro
Ha ha haa!Ccm awakutegemea kuuona nyomi ,nyomi ufanya kazi ya wizi kuwa ngumu. Yahya Jameih alimiliki Hadi tume anajipangia tu asilimia za ushindi lkn wananchi walipoamua alipigwa na tume yake Barrow akatangazwa mshindi...
Ndio unaona wameanza kumprovoke hivyo.Hawawezi kitu
Huyu Mzungu mweusi (Tundu Lissu) anataka kurudisha ukoloni maana si Raia wa Tanzania tena.Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Alidanganywa anakubalikaHa ha haa!
Rais alisema urais ni mgumu kweli kweli...
Hoja za kizamani miaka ya 70Huyu Mzungu mweusi (Tundu Lissu) anataka kurudisha ukoloni maana si Raia wa Tanzania tena.
Yey na familia yake Ni watanzania labda ndio aliowahoj zingatia Uhuru wa kujieleza Ni haki ya kikatibaHuyu Mkurugenzi wa tume Mahela nani amempa usemaje wa Watanzania. Anasema Watanzania wanataka hiki na kile amekutana nao wapi kuwahoji wanachotaka. Kwa taarifa yake jambo la kwanza ambalo Watanzania hawataki na wamechoka nalo ni chama chake cha mapinduzi.
Huwezi kuwa na uraia pacha hapa Tanzania. Ana passport ya ulaya huyoHoja za kizamani miaka ya 70
Mimi sio mwana siasa hata kama Lissu atauza nchi sidhani NEC kama inahusikazero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!...