Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Mimi Ponjoro wa Kinondoni nimeanza kukata tamaa ya kurudi mjengoni.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa na machawa yooteKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Mkutano mkuu au kamati kuu?Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
ramli na upotoshaji wa kishirikina ni mambo nonsense sana gentleman kubabaika nayo kama mdau mzoefu wa JFTlaatlaah Lucas Mwashambwa na machawa yoote
This is not a drill
Unaamuru wewe Mungu mjinga weweNever ardhi tumeiamuru na mbingu na anga, viwatapike km Mungu aishivyo....
Sa mtapigia kura hewa 😅
Hahaha tupo tumekaaa ila kumbuka huu mwaka hakuna uchaguziramli na upotoshaji wa kishirikina ni mambo nonsense sana gentleman kubabaika nayo kama mdau mzoefu wa JF
Shehe naona dua nyingi mpaka maji yameisha msikitini lakini samia ndio kwanza anazidi kukataliwa.ramli na upotoshaji wa kishirikina ni mambo nonsense sana gentleman kubabaika nayo kama mdau mzoefu wa JF
Lete ushahidi mkuu Tetesi zinatuchosha!Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Sema walikosea tu kumuua Dkt Magufuli halafu eti wakawa wanatamba hahaha yaani acheni tu watu tulilia na tunaendelea kulia.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Hangaika kwanza kumuomba amalize ulofa ulionao kwanzaMungu jibu maombi ya watanganyika tuko pamoja na trendi hizi mpk mtuuwe.
Baraza limevunjwa lini,mnona Mawaziri wapo kazini?Una uhakika mbunge alijavunjwa?
Juzi baraza la mawaziri lilivunjwa, hoja yangu inawezekana vipi baraza livunje kabla ya bunge?
Wanaweza wasikae nao pia.kumbukeni yote yanayofanywa mwaka wa uchaguzi mkuu ,ni lazima yazingatie katiba ya JMT ,yote yafanywayo na ccm yanakiuka katiba bunge bado halijavunjwa
Siku watakayokaa na chadema kuyamaliza ,ndipo mchakato kwenye vyama utaanzia pale...(baada ya reforms)
Na bado
Kimeumana mwaka huu; sasa yule bichwa mviringo kama emoji tarh 28 yake aliitoa wapi??😂😂Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Tunashukuru kwa taarifa, lakini huaminiki sana.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca