Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasaniiKuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.
Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!
FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
Wanasiasa huwa wanaangalia maslahi yao tu mkuuHuyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii
Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu
So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.
SureWanasiasa huwa wanaangalia maslahi yao tu mkuu
Wanaposema sisi wananchi huwa wanamaanisha wao na familia zao.
Mbowe na Heche wameitwa wewe unapata Nini?
Miaka inaenda, kina Joyce Mukya wanacho Cha kurithi wewe Ndugu zako watarithi UNYUMBU.
Wewe Ni msukule wa wanasiasa kina Mbowe na watoto wako watakuwa misukule wa watoto wa kina Mbowe.
Hakuna Mambo ya bahati mbaya dunia hii.
Una uhuru wa kusema na kufikiri vyovyote, but with a reason and evidence. Mimi nadhani Mbowe angelikuwa mtu wa pesa, Magufuli/Jiwe angelimpa hata bilioni 200 or more a join CCM! Nadhani Magufuli alikuwa tayari kumap chochote isipokuwa Urais ili Mbowe aunge juhudi! LAKINI AKAKATAA! Mhaya wa wapi wewe?Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii
Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu
So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.
Sawa tutaona.Una uhuru wa kusema na kufikiri vyovyote, but with a reason and evidence. Mimi nadhani Mbowe angelikuwa mtu wa pesa, Magufuli/Jiwe angelimpa hata bilioni 200 or more a join CCM! Nadhani Magufuli alikuwa tayari kumap chochote isipokuwa Urais ili Mbowe aunge juhudi! LAKINI AKAKATAA! Mhaya wa wapi wewe?
WHATEVER, MTU HAKATAI WITO HUKATAA ANALOITIWASawa tutaona.
WHATEVER, MTU HAKATAI WITO HUKATAA ANALOITIWA
Mh Mbowe tulipofika na kiongozi wangu nasema pia hakuna kwenda Kutana naye haina maana, mbinu aliyokuja nayo TOKA dawati lake la kamati ya siasa ni hatali, na tumeshutuka mapema,Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.
Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!
FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.
Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!
FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
Wale mnaopinga Mbowe na Chadema kukutana na Rais ingien misituni mpambane na Serikali tuone mtapata matokeo gani.Mh Mbowe tulipofika na kiongozi wangu nasema pia hakuna kwenda Kutana naye haina maana, mbinu aliyokuja nayo TOKA dawati lake la kamati ya siasa ni hatali, na tumeshutuka mapema,
Ameamua tumia njia kuuma na kupuliza huku akitumia viongozi wa chama Kama stap tu ya kujinufaisha kisiasa hamna KINGINE pale,
Tuludi tu kule tulipo kuwa maisha yale yalikua ya maumivu ila ilifika mda tukayazoea na kuyafurahia,
Mh Mbowe nipo chini ya miguu safari za Ikulu zikome Mara moja
Umeshajua walienda kufanya nini?Walijadili kipi hasa?Wametoa mrejesho kwako?Muwe mnaacha kurukiarukia mambo hovyohovyo.Mtakuja kutua kwenye vitu vyenye ncha kali.Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii
Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu
So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.