Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA.

Busara za kawaida zinaniongoza hivyo! Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.

Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!

FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
 
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.

Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii

Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu

So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.
 
Wanasiasa huwa wanaangalia maslahi yao tu mkuu

Wanaposema sisi wananchi huwa wanamaanisha wao na familia zao.
 
Mbowe na Heche wameitwa wewe unapata Nini?

Miaka inaenda, kina Joyce Mukya wanacho Cha kurithi wewe Ndugu zako watarithi UNYUMBU.

Wewe Ni msukule wa wanasiasa kina Mbowe na watoto wako watakuwa misukule wa watoto wa kina Mbowe.

Hakuna Mambo ya bahati mbaya dunia hii.
 
Hoja yako ni nini hapa dogo?!
 
Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii

Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu

So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.
Una uhuru wa kusema na kufikiri vyovyote, but with a reason and evidence. Mimi nadhani Mbowe angelikuwa mtu wa pesa, Magufuli/Jiwe angelimpa hata bilioni 200 or more a join CCM! Nadhani Magufuli alikuwa tayari kumap chochote isipokuwa Urais ili Mbowe aunge juhudi! LAKINI AKAKATAA! Mhaya wa wapi wewe?
 
Sawa tutaona.
 
Hoja yako ni nini hapa dogo?!

Screenshot_2022-05-21-08-02-50-555_com.twitter.android.png
 
Kwisha maringo YENU.
Kuwa against na serikali ndiko kuliko wafanya chadema kuwa chama kikuu Cha upinzani Sasa mnapoelekea mnakwenda kuwa CCM D
Mtakuwa na agenda gani?
Mtamkosoa mtu mliyeweka nae maridhiano?
 
CCM: vyama vya siasa njooni ikulu mniaelezee mahitaji yenu.
CHADEMA: Hayuchanganywi na aki na Rungwe, Zito na Mbatia.
CCM: Tumekubali yaishe njooni tuyamalize
CHADEMA: Ondoeni Wale 19 au tulambishe asali.
 
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.
Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!

FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
Mh Mbowe tulipofika na kiongozi wangu nasema pia hakuna kwenda Kutana naye haina maana, mbinu aliyokuja nayo TOKA dawati lake la kamati ya siasa ni hatali, na tumeshutuka mapema,

Ameamua tumia njia kuuma na kupuliza huku akitumia viongozi wa chama Kama stap tu ya kujinufaisha kisiasa hamna KINGINE pale,
Tuludi tu kule tulipo kuwa maisha yale yalikua ya maumivu ila ilifika mda tukayazoea na kuyafurahia,

Mh Mbowe nipo chini ya miguu safari za Ikulu zikome Mara moja
 
FTQjF5kXoAMmMnB.jpeg

Ikulu walipamisi sana awamu ya tano,

hakuna cha maridhiano hapo mbowe mtoto wa mjini huyo
 
Wanaochochea cdm wakatae ni wale waliokuwa watesi wao jana. Kinachowauma ni kuona Samia anawaprove wrong kwamba siasa ni ya wote na hakuna mwenye hati miliki ya uongozi. Wakafie mbali huko aliko mwenzao.
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenedo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe "katili" kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za kawaida zinaniongoza hivyo!
Hongera Mbowe, Hongera Chadema kwa kuitikia wito maana pressure ilikuwa kubwa eti msiende huko.
Hopefully you did not compromise your position on all political issues you have been demanding for decades!

FINALLY: Tunaomba mrejesho, TO BUILD TRUST AMONG TANZANIANS AS THIS WAS AND IS STILL A CONTENTIOUS ISSUE!
 
Mh Mbowe tulipofika na kiongozi wangu nasema pia hakuna kwenda Kutana naye haina maana, mbinu aliyokuja nayo TOKA dawati lake la kamati ya siasa ni hatali, na tumeshutuka mapema,

Ameamua tumia njia kuuma na kupuliza huku akitumia viongozi wa chama Kama stap tu ya kujinufaisha kisiasa hamna KINGINE pale,
Tuludi tu kule tulipo kuwa maisha yale yalikua ya maumivu ila ilifika mda tukayazoea na kuyafurahia,

Mh Mbowe nipo chini ya miguu safari za Ikulu zikome Mara moja
Wale mnaopinga Mbowe na Chadema kukutana na Rais ingien misituni mpambane na Serikali tuone mtapata matokeo gani.
 
Huyo Mbowe muuni tu yeye na Ccm na sukuma Gang wote wasanii

Badala muwatete Wananchi nyie mnaangalia interest zenu tu

So mavyama yote hapa Tz. Ni kwa Ajili ya wizi tu.
Umeshajua walienda kufanya nini?Walijadili kipi hasa?Wametoa mrejesho kwako?Muwe mnaacha kurukiarukia mambo hovyohovyo.Mtakuja kutua kwenye vitu vyenye ncha kali.
 
Back
Top Bottom