Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Chadema imepoteza mvuto
Sitegemei jibu la maana kutoka kwa nyumbu.Heche piga mchoko bado yanatoa mavi kidogo kidogo piga mpaka yatoe mavi hasa
Itoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Usishangae mawakili wa serekali wakasema kesho wana ushahidi mpya kupitia huo mkutano wa Heche.
Hao wananchi wamesema zile hela ni kidogo, wako tayari kumchangia zaidi tena waweke na namba zao za NIDA ili iwe ni hela za wanaofahamika.Hongera kwake na bila shaka kawaleleza kuhusu zile milioni 30 alizowekewa kwenye akaunti yake na mtu asiyemjua ingawa anamjua! Ahahahahaha!!
Itoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Chadema ni imani, iko kwenye mioyo ya wapenda haki na wote wenye akili timamu.Chadema ni kila mahali sasa!
Imekuwa kama matawi ya CRDB- Ulipo Tupo!
Pandikizi lenu bado mnalikumbukaItoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Hii umepiga kwenye mshono kabisaKila zama na kitabu chake hata CCM ya Nyerere sio hii ya Samia, Nyerere hakuua wananchi wake kama Samia.
Wewe umepoteza marindaChadema imepoteza mvuto
Huyu Mbowe aliyeandamana pekee yake au?Itoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Patafurika mpaka basiImagine Mwenyekiti anakuwa huru then inapigwa ziara ya kuwashukru Watanganyika?