Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
CCM wana akili sana hizi picha wanapelewa wazungu, ikionyesha hata ulinzi wanapewa, kwisha habari yao
🤣🤣
CCM wana akili sana hizi picha wanapelewa wazungu, ikionyesha hata ulinzi wanapewa, kwisha habari yao
Umeanza vizuri ilaa umeharibu mwishoniChadema ni kila mahali sasa!
Imekuwa kama matawi ya CRDB- Ulipo Tupo!
Na kupakiza watu kwa maroli , babu yangu alinisimulia jinsi walivyokuwa wanatembea umbali mrefu kwenda kumsikiliza mkuu wa nchiKila zama na kitabu chake hata CCM ya Nyerere sio hii ya Samia, Nyerere hakuua wananchi wake kama Samia.
Kwani serekali yenu haramu ina kitengo cha kuzuia utakatishaji wa hela mkamateniHongera kwake na bila shaka kawaleleza kuhusu zile milioni 30 alizowekewa kwenye akaunti yake na mtu asiyemjua ingawa anamjua! Ahahahahaha!!
Hela ni yangu nimeamua mimi kuchanga wewe inakuhusu nini unajua nilikoipata, tafuta hela acha kuhoji vya watu utaolewa.Hongera kwake na bila shaka kawaleleza kuhusu zile milioni 30 alizowekewa kwenye akaunti yake na mtu asiyemjua ingawa anamjua! Ahahahahaha!!
Unakinukisha?Kimenuka
HahahaChadema imepoteza mvuto
HehehheHuyu Mbowe aliyeandamana pekee yake au?
Sera za CCM chama Tawala zinafanya Watanzania wawe na pesa
Ndiomana Chadema wanapokea pesa nyingi kutokea kwa Wananchi wenye kutawaliwa na CCM ✍️
Time will tell.Kwani serekali yenu haramu ina kitengo cha kuzuia utakatishaji wa hela mkamateni
Watu wataenda kusikiliza makosa ya serikali na kejeri basi. Je,CHADEMA wana hoja au ajenda ya kuwafanya wananchi wakipe mamlaka? MAKONDA ALIWAI KUSEMA NI CHAMA CHA TAARIFA..tangu TL awe mwenyekiti Cdm haijaruhusiwa kufanya shughuli zake kwa zaidi ya miezi miwili bila kuingiliwa na serikali.
..kwa uelewa wa wananchi ulivyo sasa hivi Cdm wakiwa huru kwa miezi walau 6 wakazunguka nchi nzima watakuwa hawashikiki tena.
..Na kuna jambo zuri linaelekea kutokea ambapo Cdm wanaanza kujifunza kuishi bila ruzuku, na kwa kutegemea michango ya wananchi wa kawaida.
Bila shaka wewe ni CHADEMA-HYBRIDHujaeleweka unavuta bangi kabla ya kupost au unakula mirungi
Kwani Lissu kadi yake ya kwanza niya CHADEMA?Pandikizi lenu bado mnalikumbuka
Yaani CHADEMA iwe ya wote alafu iwe nje ya Ikulu? Hizi ni akili au uvundo?Kwa hali ilivyo katika uhalisia waje, na hayo uliyoyasema, bado unaamini una akili timamu? Au kuna tatizo mahali kichwani mwako?
Hii CHADEMA ya sasa ni CHADEMA yenye nguvu ya pekee, imekuwa ni CHADEMA ya watanzanua wote wenye akili timamu, wenye uzalendo kwa nchi yao, wananaochukia uovu. Ni CHADEMA yenye nguvu na inayoaminika na kuheshimika kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Halafu linganisha na CCM ya wauaji ambacho Watanganyika wengi hawataki hata kuisikia.
Umeijua na kuipenda CHADEMA kipindi cha Mbowe nasio huyu anaetaka tusome nchi ili awe Rais na familia yake itembee kwa vingoraMmmh mbowe ni muheshimiwa ? Kwa lipi ? Mbowe na zito wana tofauti gani ...hakuna muheshimiwa hapo.