Mkutano wa Heche leo akiwa Shinyanga, asanteni sana wananchi

Watu wataenda kusikiliza makosa ya serikali na kejeri basi. Je,CHADEMA wana hoja au ajenda ya kuwafanya wananchi wakipe mamlaka? MAKONDA ALIWAI KUSEMA NI CHAMA CHA TAARIFA

..kusema chama fulani wana hoja na ajenda, au hawana, inategemea na mtizamo wa mtu.

..Uchaguzi uwe huru, haki, na unaoaminika, na wananchi wafanye maamuzi yao.
 
Uchaguzi ni takwa la kikatiba sio hisia wala mihemko.
 
Back
Top Bottom