CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Heche wapelekee moto maccm hadi wa squirt kudadadadeq
Heche wapelekee moto maccm hadi wa squirt kudadadadeq
Wewe wasema.Chadema imepoteza mvuto
Katuga hawezi kutokea hapo atapigwa mpaka afe.Akitokea Katuga hapo lazima akimbie
Aibu utaona wewe mama'e!!!Chadema walienda kusini wakakosa watu
Kwasasa matembezi yao
yanaendelea maeneo yale yale walipo Aleluyaaaaa Ameeeennn wengi wengi
Kusini Pwani Tanga
wamekukacha kabisa
Safari zao
Hawataki watu wachache Watoto wa Aleluyaaaaa ndio nguvu
yao kwasasa😂😂😂😂
Ni IASio AI?
Hujaeleweka unavuta bangi kabla ya kupost au unakula mirungiItoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Kwa maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake sio? Sasa upumbavu wenu wa kulialia Rais, au mtoto wa Rais, Waziri kala hela mnautoa wapi?Hao wananchi wamesema zile hela ni kidogo, wako tayari kumchangia zaidi tena waweke na namba zao za NIDA ili iwe ni hela za wanaofahamika.
Mtoto wa shehe hujambo?. Wewe ukipewa pilau tu basi.... vijana wanamaliza mchezoChadema walienda kusini wakakosa watu
Kwasasa matembezi yao
yanaendelea maeneo yale yale walipo Aleluyaaaaa Ameeeennn wengi wengi
Kusini Pwani Tanga
wamekukacha kabisa
Safari zao
Hawataki watu
wachache❗️
Watoto wa Aleluyaaaaa ndio nguvu
yao kwasasa😂😂😂😂
Aaaahh balaa lake sio la kitotoImagine Mwenyekiti anakuwa huru then inapigwa ziara ya kuwashukru Watanganyika?
Itoshe kusema CHADEMA ni ngumu sana kushamiri kama wakati wa Mh.Mbowe..
Mkuu 'Quinine'; ujumbe muhimu wa picha tumeupata; lakini ujumbe wa kilichosemwa kwa waTanzania hawa nao ni muhimu sana; kwa sababu unawafikia hadi akina sisi ambao hatukubahatika kuwemo kwenye picha hizo.
"Miezi sita"?..tangu TL awe mwenyekiti Cdm haijaruhusiwa kufanya shughuli zake kwa zaidi ya miezi miwili bila kuingiliwa na serikali.
..kwa uelewa wa wananchi ulivyo sasa hivi Cdm wakiwa huru kwa miezi walau 6 wakazunguka nchi nzima watakuwa hawashikiki tena.
..Na kuna jambo zuri linaelekea kutokea ambapo Cdm wanaanza kujifunza kuishi bila ruzuku, na kwa kutegemea michango ya wananchi wa kawaida.
CCM wana akili sana hizi picha wanapelewa wazungu, ikionyesha hata ulinzi wanapewa, kwisha habari yao
Kusini gani?Chadema walienda kusini wakakosa watu
Kwasasa matembezi yao
yanaendelea maeneo yale yale walipo