Mkutano wa Heche leo akiwa Shinyanga, asanteni sana wananchi

Kila zama na kitabu chake hata CCM ya Nyerere sio hii ya Samia, Nyerere hakuua wananchi wake kama Samia.
Na kupakiza watu kwa maroli , babu yangu alinisimulia jinsi walivyokuwa wanatembea umbali mrefu kwenda kumsikiliza mkuu wa nchi
 
Hongera kwake na bila shaka kawaleleza kuhusu zile milioni 30 alizowekewa kwenye akaunti yake na mtu asiyemjua ingawa anamjua! Ahahahahaha!!
Hela ni yangu nimeamua mimi kuchanga wewe inakuhusu nini unajua nilikoipata, tafuta hela acha kuhoji vya watu utaolewa.
 
Wananchi wanadai maisha magumu lkn
Ajabu pesa ya kuchangia tonetone wanayo‼️

Na Chadema wana rohoo nzima kweli
Mana pamoja na kudai ali ni ngumu chini ya CCM

Lkn bado wanaenda kuwakamua wenye ali ngumu kupitia
Tone tone 🤠🤠🤠
 
Sera za CCM chama Tawala zinafanya Watanzania wawe na pesa
Ndiomana Chadema wanapokea pesa nyingi kutokea kwa Wananchi wenye kutawaliwa na CCM ✍️
 
Sera za CCM chama Tawala zinafanya Watanzania wawe na pesa
Ndiomana Chadema wanapokea pesa nyingi kutokea kwa Wananchi wenye kutawaliwa na CCM ✍️

Ukiwa CCM unahitaji akili kiduuuchu tu za kuvukia barabara na kwendea chooni basi
 
Watu wataenda kusikiliza makosa ya serikali na kejeri basi. Je,CHADEMA wana hoja au ajenda ya kuwafanya wananchi wakipe mamlaka? MAKONDA ALIWAI KUSEMA NI CHAMA CHA TAARIFA
 
Yaani CHADEMA iwe ya wote alafu iwe nje ya Ikulu? Hizi ni akili au uvundo?
 
Mmmh mbowe ni muheshimiwa ? Kwa lipi ? Mbowe na zito wana tofauti gani ...hakuna muheshimiwa hapo.
Umeijua na kuipenda CHADEMA kipindi cha Mbowe nasio huyu anaetaka tusome nchi ili awe Rais na familia yake itembee kwa vingora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…