Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.
Kwa Lugha nyingine huwa hawana muda na wewe kwenye siasa zako za ndani as long as wao wanapata resources wanazotaka ndani ya Nchi.yako.
Ktk hali isiyo ya kawaida tuliona sura nyingi za Raia asili ya Asia na Uchina wamejaa kwenye mkutano wa Chama cha siasa cha upinzani.
Je hii ni Ukurasa Mpya kuelekeo uchumi imara na mahusiano Thabiti na Nchi zenye mifano bora ya maendeleo?
Au wewe msomaji una maoni gani kuhusu tukio hili?