Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.

Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.

Kwa Lugha nyingine huwa hawana muda na wewe kwenye siasa zako za ndani as long as wao wanapata resources wanazotaka ndani ya Nchi.yako.

Ktk hali isiyo ya kawaida tuliona sura nyingi za Raia asili ya Asia na Uchina wamejaa kwenye mkutano wa Chama cha siasa cha upinzani.

Je hii ni Ukurasa Mpya kuelekeo uchumi imara na mahusiano Thabiti na Nchi zenye mifano bora ya maendeleo?

Au wewe msomaji una maoni gani kuhusu tukio hili?
 
Je wachina wamebadilisha mbinu na uhusika wao kwenye siasa za dunia?
 
Umeandika ukiwa umelewa nini!.chama cha upinzani kipi uliona kulikuwa na wachina hapa .Au unazungumiza chama cha kila msanii wa Tiktok,comedy,wakwepa kodi,wapenda fursa na chawa.
 
Kama huna habari uwe unauliza usikirupuke
 
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.

Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.

Kwa Lugha nyingine huwa hawana muda na wewe kwenye siasa zako za ndani as long as wao wanapata resources wanazotaka ndani ya Nchi.yako.

Ktk hali isiyo ya kawaida tuliona sura nyingi za Raia asili ya Asia na Uchina wamejaa kwenye mkutano wa Chama cha siasa cha upinzani.

Je hii ni Ukurasa Mpya kuelekeo uchumi imara na mahusiano Thabiti na Nchi zenye mifano bora ya maendeleo?

Au wewe msomaji una maoni gani kuhusu tukio hili?
Ni Nchi gani inayopenda Mambo yake ya ndani yaingiliwe na nchi nyingine?
 
Kushurikiana sio kuingiliwa, mbona pesa zao wanaleta tunapokea hadi mifumo ya kiulinzi wa Nchi tunashirikiana..unless hujui hilo. Basi ndio ujue kuanzia leo

Back
Top Bottom