Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Umemsanua ndugu yako.Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Mkuu noma sana hii ilimtokea mshkaji wangu. Mtoto kafunga shule kafikia kwake kabla ya kwenda kwao. Siku ya 1, 2 asubuhi mtoto haamki. Kumbe kafa. Jamaa alikimbia...Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Mwamba vp? Hio sabufa umenunua juzi ndo umeona uje utupigie kelele hapa?Niwatakie week end njemaView attachment 3129305View attachment 3129306
oya we 🤣🤣🤣🤣Binti anakuwa amekupenda mpaka anaamua kufa mikononi mwako 🔥🔥🔥
Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Hapo ndipo utakapoikumbuka ile nyimbo ya Jay Z "i just died in your arms tonight"Binti anakuwa amekupenda mpaka anaamua kufa mikononi mwako 🔥🔥🔥
Tuwaambie ukweli na machungu pia yapo!Vijana oeni
Ndoa tamu
Iliishaje mkuu?Mkuu noma sana hii ilimtokea mshkaji wangu. Mtoto kafunga shule kafikia kwake kabla ya kwenda kwao. Siku ya 1, 2 asubuhi mtoto haamki. Kumbe kafa. Jamaa alikimbia...
Mimi ilitaka nitokea mtoto kaja geto mara kazima. Yani nilidata si kidogo nilidata balaa
Ya jamaa au yangu?Iliishaje mkuu?
Sijui kwann katika comments zoote hii ndio imenichekesha...Ukishakua mwanaume, hayo mambo yote yanazungumzika.
Mkuu inawezekana huyo wako alikua na tatizo la kiafya na yaweza kuwa ni siri ya familia kwa maana ya kwamba familia yake tu ndio wanajua ndio maana hawakukuliza chochote..Ya jamaa au yangu?
Jamaa alidakwa, akasota ndani kwa muda mrefu pasipo kesi kusikilizwa. binti alikuwa anasoma uganda sasa aliporudi, alikuwa anasoma form 6, akafikia kwake akae siku 3 ndo aende kwao ndipo akafa. so jamaa alikimbia kisha akapiga simu kwa jirani kumwambia ndani kwake kaacha maiti. Alikaa sana zaidi ya miaka 7 ndani kesi hata haisikilizwi. Ila kwa sasa yuko uraiani japo sijui yuko wapi ni muda sana nimesikia taarifa zake.
Mimi alikuja kwangu. Tumekaa kaa tumefanya yetu. Baadae nimekwenda sebuleni narudi namkuta kazima. Haitiki, hajitingishi. Nikimtikisa anaguna tu. Wee asikwambie mtu nilitaka kudata. Nikaanza kumtikisa anaguna tu mapigo yake ya moyo yako chini kabisa.
Nikamkokota hadi bafuni nikamwagia maji, wapi. Nikataka kuwaita majirani, nikaona jau maana hakuwa kavaa. Nikamvisha kwanza. nikatoka nje nikaona isiwe tabu. Nikarudi ndani nikamkokota nikamwingiza kwa gari, hapo nawaza nimpeleke hsptal. shida sikuwa na pesa ya kutosha, na nikawaza nipige simu kwao. Familia zetu zilikuwa family friend lakini hawakuwa wanajua kama mimi natoka na mwenzangu ilikuwa siri kubwa baina yetu.
Mwisho ilibidi nipge simu kwao maana nilimpeleka hsptal akalazwa kapgwa drip za kutosha, pimwa kila kitu kuanzia presha, sukari sijui nini na bado hawakuona tatizo. Alianza stabilize baada saa nane usku toka saa mbili nilipomfikisha hospital.
Kwao walifika hapo na nashukuru Mungu hawakuniuliza nimemtoa wapi, nadhani walijiongeza na bill mzee wake akalipa na wala hakunihoji.
Nilikuwa bado chalii ndo nina mwaka nimemaliza chuo. Baada ya hapo nilikuwa namwogopa kama ukoma.
Kifo kifo tu, iwe wa kwako au sio lazima kiwakeMi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Kitambo kidogo mkuu ashaolewa kwa sasa na ana watoto wawili ila huwa tunawasiliana mara moja moja akinikumbuka ananipgia simu kwanza tuko mikoa 2 tofauti yuko a city mimi niko dsm.Mkuu inawezekana huyo wako alikua na tatizo la kiafya na yaweza kuwa ni siri ya familia kwa maana ya kwamba familia yake tu ndio wanajua ndio maana hawakukuliza chochote..
Mshukuru sana Mungu na pia usimtenge. Sitisha mahusiano naye lakin usimkatae kinamna hiyo kwa kumuona kama ukoma.
Ni mambo tu ya maisha, hakupenda kuzaliwa hivyo.