Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

Nilichogundua mtoa mada anatuambia tusilale nao tuhakikishe baada ya mabao mechi kuisha tuwarudishe makwao.. ila kuoa ni mtego hatuwezi nasa hapo ndoa ni utapeli.
Ukiwa unalala nae huyo ni mkeo asiye halali. Ni suala la muda tu utakabidhiwa au akufie hapo ndani uanze kupambana na mikesi.
 
Kila siku watu wanafiwa na wake zao, hakuna tatizo katika hilo mkuu unless umeua. Kama ni natural death hakuna shida.
 
Kitambo kidogo mkuu ashaolewa kwa sasa na ana watoto wawili ila huwa tunawasiliana mara moja moja akinikumbuka ananipgia simu kwanza tuko mikoa 2 tofauti yuko a city mimi niko dsm.
Vizuri. Hayo ndio maisha. Mess happens shukuru Mungu alikua uoanfe wako
Huenda alikuwa na shida mkuu sikuulizwa swali lolote. Mama yake alikuwa analia tu
hio inawezekana kabisaa, sasa wakaona na wewe usije ukajua kama yakienda mbali so maadam ni mzima basi acha yapite. Vipi uhusiano wako na hiyo familia baada ya hapo, ulikuaje especially na wazaz wake??

Wazaz wako wewe walisemaje maana umesema familia zenu zilikua friends!!
daah nilikuwa najiona mwenye hatia nakaza mfuko nina buku 12 tu hata haiwezi nunua chochote.
Ahahahahah.. sasa mkuu una drive vipi gari na mfukoni una buku 2?? 😂😂.
Hiki kitu mimi huwa sifanyi.
Labda kama iwe jumapil naenda kanisani na kurud home maana always nina hakikishaga kuwa gari ina fuel ya dharura muda woote ikiwa imepaki siitumii
 
Kila siku watu wanafiwa na wake zao, hakuna tatizo katika hilo mkuu unless umeua. Kama ni natural death hakuna shida.
Hata kwa mpenzi wako, natural death ni natural death tu

Kipengele huanza pale ambapo uchunguzi unafanyika na kugundulika sio kifo cha kawaida
 
Yah ni kweli majanga hutokea maishani mkuu ni kumshukuru Mungu.
Sikuwapigia simu home, na sijui hata kama wao waliwaambia home. Ila mimi kesho yake nilienda home maana nilikuwa naishi alone nshatoka home, so nilienda nikawa najiongelesha ooh fulani aliumwa akalazwa, nilikuwa pale hospital. Sikusema kama nilikuwa naye na nikampeleka nao home wakaonekana kutokuwa na taarifa.
Wazazi wake yani hawakuonyesha reaction yoyote. Ila sasa mimi nikawa najishtukia. Nilikuwa naenda pale nikaacha. Walikuwa muda mwingine wananiomba nimpeleke mdogo wake huyo binti shule alikuwa anasoma sekondari hasa siku zikifunguliwa muda mwingine mimi nilikuwa nampeleka shule, wakaacha kuniambia nimpeleke sijui waliniona ni fisi.
Aaah mkuu gari mafuta ilikuwa nayo, ila fedha kama fedha sikuwa nayo nilikuwa nimepiga. Halafu nilikuwa naishi bahari beach, so nilimpeleka rabinsia pale tegeta, na kwao ilikuwa hapo Africana.
Kwanza nimepiga simu kwao nikiwa mbuyuni, bahati nzuri baba na mama yake walikuwa maeneo ya wazo so tumekutana pale pale hospital maana hata fedha ya kufungua file ilikuwa buku 10 ningebaki na buku mbili. Ilikuwa noma mtu wangu.
 
Waeleze hao Bokoharam wa Chibok waache utekaji.🤔
 
Hata kwa mpenzi wako, natural death ni natural death tu

Kipengele huanza pale ambapo uchunguzi unafanyika na kugundulika sio kifo cha kawaida
Mpenzi wako ni yule anayetambulika na jamii yako kuwa huyu ni mpenzi wako na ikishafikia hatua hiyo kwa hapa Tanganyika huyo ni mkeo asiye halali kidini ila nadhani kuna sheria zinamlinda mwanamke wa aina hiyo maana kuna watu wanaishi pamoja hata miaka mpaka wanazaa na hawana ndoa na serikali inawatambua watu wa aina hii kupitia jamii yao inaowazunguka.

Ila umeokota mwanamke tu jamii yako haimjui ukaingiza ndani akakufia, hapo una shughuli.
 
Nimetoka airport kusindikiza mke wa mtu niliyemfungia na kumtafuna kwa wiki nzima, hebu mnisaidie kwanza kumwombea afike salama..... nitarudi.
 
Ahahahahahah pole sana...na hongera pia. MUNGU alikua upande wako wewe, mshukuru sana, hukuanza kufanya ibada kweli baada ya hilo???
 
...ukiacha ushabiki hata watoto nao watapenda kulala na wenzao kupunguza stress za dunia mental heslth pia.....zunguka dunia nzima......kile kitu muhimu kote kote.....
 
Ahahahahahah pole sana...na hongera pia. MUNGU alikua upande wako wewe, mshukuru sana, hukuanza kufanya ibada kweli baada ya hilo???
Aaah wapi mkuu. Kwanza nilikuwa ujana mwingi nina mademu kama wanne. Yeye alikuwa main chick na kuna semi main chick na kuna side chicks wawili na party time.
Yeye nikaanza kumwogopa kama ukoma akawa ananisumbua najifanya niko bsy. Alikuwa ana funguo za nyumbani kwangu alikuwa anapenda kwenda kunifanyia usafi akitoka kazini weekend hasa alikuwa anatoka mapema. Nikawa nikijua anakuja mimi naondoka atakaa mpaka usiku sijarejea hadi anaondoka.
Alivyoona hali imezidi si akajilipua akamtafuta kaka yangu kumweleza kuwa tulikuwa tuna mahusiano na sasa namzingua.
Sasa kesi ya nyani unampelekea ngedere, na mimi bro wangu alikuwa ushauri wake ni kama humtaki achana naye tu ila yeye anampa moyo.
 


Ukiwa na mawazo haya, then uwez kumpa hata mtu lift kwenye gari yako

Utakuwa unajua anytime anaweza kuzimika ikawa shida

Haha
 
Dooh i feel sory for her.. kumpenda mtu halaf yeye hakupendi ni jambo linalovunja sana moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…