Ulikuwa ujana mkuu yani nilikuwa nina ujana na usela mavi sikuwa focused. Alikuwa mke wa kuoa yule. yeye na mwingine ambaye nilikuwa nimempa rank ya pili wale ilifaa nioe mmojawapo. Walikuwa poa sana ila nilikuwa busy collecting stones wakati nina diamonds ndani.Dooh i feel sory for her.. kumpenda mtu halaf yeye hakupendi ni jambo linalovunja sana moyo.
Mungu akusaidie japo ulishapoteza fursa ila tumain bado lipo na wanawake wazur wa kuoa bado wapo wengi tu labfa kama umeshakua mwanachama wa chama hik cha vijana wa JFUlikuwa ujana mkuu yani nilikuwa nina ujana na usela mavi sikuwa focused. Alikuwa mke wa kuoa yule. yeye na mwingine ambaye nilikuwa nimempa rank ya pili wale ilifaa nioe mmojawapo. Walikuwa poa sana ila nilikuwa busy collecting stones wakati nina diamonds ndani.
Wote wameolewa wana familia mimi hadi leo bado nipo nipo tu naelekea kwenye u-seniour bachelor.
Jamii ya sasa haielewi mtu akifia kwenye gari yako, utaambiwa ulimtoa kafara upate utajiri.Ukiwa na mawazo haya, then uwez kumpa hata mtu lift kwenye gari yako
Utakuwa unajua anytime anaweza kuzimika ikawa shida
Haha
Hahaha siko desperate kihivyo mkuu ntaoa tu Mungu akijalia sidhani kama mimi ni mwanachama wa kudumu wa kataa ndoa. Ni temporary member.Mungu akusaidie japo ulishapoteza fursa ila tumain bado lipo na wanawake wazur wa kuoa bado wapo wengi tu labfa kama umeshakua mwanachama wa chama hik cha vijana wa JF
Jamii ya sasa haielewi mtu akifia kwenye gari yako, utaambiwa ulimtoa kafara upate utajiri.
Ushahidi wa kimazingira,Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Saidia ila hakikisha una ushahidi iwapo kutatokea lolote. Hospitalini tu tena ya uma ukibeba mtu mahututi aliyejeruhiwa kwa ajali au kupigwa wanaweza wasimpokee kabisa mpaka akafia mkononi mwako na ukaanza kesi useme ulipomtoa.So no need kusaidia watu
Ni sahihi sababu utapunguza usumbufu na itakusaidia wakati wa kesi ila shida ipo pale pale maana dhamana hutapata na utakaa ndani mno mpaka kesi isikilizwe labda kama upo vizuri kifedha.Cha muhimu ni kutoa taarifa polisi wewe mwenyewe ili aje afanyiwe postmortem kama amekufa natural death dokta atathibitisha wala wewe hutapata tatizo lolote, shida ni pale utakapotaka kujiongeza jinsi ya kupoteza hiyo maiti na kuficha siri ndo hapo utakapoingia kwenye matatizo makubwa.
NB: Siungi mkono zinaa, ni uchafu na ni katika madhambi makubwa.
ushauri mzuri sana umempaMi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Kweli bro ukikutana na askari waliovurugwa wanakubeba utakaa gerezani mahabusu zaidi ya mwaka hadi siku kesi yako ipangiwe session kwenye ushahidi huko ndo utaenda kuachiwa huru kutokana na majibu ya daktari kwenye postmortem, ila ndo hivyo miaka miwili au zaidi utakua umepotezea gerezaniNi sahihi sababu utapunguza usumbufu na itakusaidia wakati wa kesi ila shida ipo pale pale maana dhamana hutapata na utakaa ndani mno mpaka kesi isikilizwe labda kama upo vizuri kifedha.
Kwani uchunguzi kuwa kwanini hajaamka hakuna?. Acha kutisha watu π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Kweli aongeze tu sauti πππKifo ni kifo tu mkuu kama vipi ongeza sauti ya radio usiwasikie