Kabisa mkuu, na hapo uombe ndugu wa binti wasiwe vichwa mbovu pia asiwepo mtu mwenye kesi ya mauaji mwenye fedha akahonga usomewe mashataka yake. Unashangaa siku ya kesi jina unaloambiwa umeua ni tofauti na mwanamke aliyefia ndani kwako hujakaa sawa jaji kagonga meza poop, afungwe maisha huyu.Kweli bro ukikutana na askari waliovurugwa wanakubeba utakaa gerezani mahabusu zaidi ya mwaka hadi siku kesi yako ipangiwe session kwenye ushahidi huko ndo utaenda kuachiwa huru kutokana na majibu ya daktari kwenye postmortem, ila ndo hivyo miaka miwili au zaidi utakua umepotezea gerezani
UongooooNa gharama za kumuweka ndani wa halali ni ndogo tofauti na gharama anazotumia kuwavusha hao wa kimya kimya!
Mkuu mimi kuna siku nampa show my wife.Cha muhimu ni kutoa taarifa polisi wewe mwenyewe ili aje afanyiwe postmortem kama amekufa natural death dokta atathibitisha wala wewe hutapata tatizo lolote, shida ni pale utakapotaka kujiongeza jinsi ya kupoteza hiyo maiti na kuficha siri ndo hapo utakapoingia kwenye matatizo makubwa.
NB: Siungi mkono zinaa, ni uchafu na ni katika madhambi makubwa.
Mkuu usiishi kiuoga uoga, kimachale chale hadi ukakosa amani na kuanza kuogopesha wenzako kwa fikra zako hizo.Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
hebu nipe play list non stop konki ulizonazo!Acha uoga, mwanaume sifa yake mikiki mikiki mzee wa sea piano, ss wewe muoga mno unaona hapo tu badala uchukue kenwood ukachukua Taiwanese, badala usikilze intrnational playlist umemuweka mbosso.. una uoga sana.
hio buku 1 na 800 inakupa kichwa sana😅Acha iwe kitaeleweka hapohapo
Dadaake anajuaMi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Vipi wasipokufa! Halafu huu utaratibu wa kupangia watu maisha nani amekumilikisha? Kwani hao mabinti huwa anawaleta hapo geto huku wakiwa wamefungwa kamba? Je, ni wanafunzi? Vipi, na wewe kesho yako unaijua?Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Ukweli mtupu na kama kuna anebisha mwache yamkute ili awe mfano kwa wenzake.Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..
Kweli bro ukikutana na askari waliovurugwa wanakubeba utakaa gerezani mahabusu zaidi ya mwaka hadi siku kesi yako ipangiwe session kwenye ushahidi huko ndo utaenda kuachiwa huru kutokana na majibu ya daktari kwenye postmortem, ila ndo hivyo miaka miwili au zaidi utakua umepotezea gerezani