Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Kwa nini tunagombania ardhi badala ya kugombania uhai wetu?
 
Magaidi yanakimbia nchi yanasababishia watoto wadogo mateso
Yaani mwenye watoto wake kasema wazi kuuliwa kwa watotp wake ni heshima na mapambano yanaendelea wewe Muisrael mweusi wa Uloye mwenye UTI sugu eti unasikia uchungu🤣 unafiki huu
 
We jamaa ni fala kweli wale IDF 10 walioshambuliwa na kufa jana katika battle Khan Younis ni watoto wa nani? Vita haina macho .mtoto wa Netanyahu kajificha marekani huko Miami angekua Gaza si ajabu leo angekua marehemu.
 
Yaani mwenye watoto wake kasema wazi kuuliwa kwa watotp wake ni heshima na mapambano yanaendelea wewe Muisrael mweusi wa Uloye mwenye UTI sugu eti unasikia uchungu🤣 unafiki huu
tatizo anaongea akiwa mbali ilitakiwa nayeye awepo gaza
 
Jamaa hawezi ruhusu familia yake ikae gaza mpka mida huu.
Na anajua anatafutwa sana.
 
Mabikra wote waislam hawana marinda.
 
Panya kakimbia paka
Kaacha panya wadogo nyumbani wanapambana na paka.

Dah hii vita itaaxha madhara makubwa sana kwa hamas na palestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…