Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Na ndipo hapo Hamas siwapendi kabisa.Wanaanzisha matatizo kwa Wapalestina walio wengi huku wao wachache wakila raha.Wake up Palestinians!
 
ni aibu familia kuuwawa baba kajificha kwa jirani, arudi nyumbani
Katika mahojiano na Al Jazeera, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alisema kuwa damu ya wanawe haina thamani kuliko damu ya Wapalestina, waliouawa na Israel.
 
Broo siku wakipatkana mateka unijulishe!
 
Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???
Marekani imepgana vita ngapi?? umeshawah kumuona Raisi au mkuu wao wa majeshi wapo Frontline????
Leo hii Urusi yupo vitani na Ukraine,,viongozi wakuu wa Urusi na Ukraine wapo Frontline???
Mkuu wa IDF na Netanyahu wapo Frontline???
Vita ya Tanzania na Uganda,je Nyerere na Idd Amini walikuwa Frontline???
Ile ni vita ya kutetea eneo lao na asili Yao ila watu ambao hata ku-dig historia kidogo mmeshndwa mmegeuza kuwa ya kidini!!
Tufanye sasa Israel ni Taifa la Mungu,it's okay....Mungu gani huyo ameshindwa kuwaambia wana-israel mahali walipo mateka???
Mungu gani huyo anabariki utekaji na uchukuaji wa maeneo ya watu wengne kwa nguvu??hapa nahtaji andiko kutoka kwenye Biblia au Quraan!!!!
Note:Tuache kumuingiza Mungu katika upuuzi!!
 
Ndiyo utetezi wako huo?Nyerere aliihama Tanzania wakati wa vita na Uganda?Putin amehamia Korea wakati huu wa vita na Ukraine?Mbona unatoa vitu visivyo na milinganyo sahili?Umeelezwa hao viongozi wa magaidi wapo nje ya Palestina na wanaishi kifahari wakati wananchi wakipata madhila ya kipigo.Unaleta habari za frontlines!
 

Wewe ilmu yako ya dini huoni aibu huyu hapa anakula bata huku kizazi chake na ukoo wake ukiendelea kufutwa?
Kilichomtuma kuchinja watoto wa Wayahudi ni nini? Tatizo lenu mkivaa hizo dera akili huwahama sana.

 
Wewe ilmu yako ya dini huoni aibu huyu hapa anakula bata huku kizazi chake na ukoo wake ukiendelea kufutwa?
Kilichomtuma kuchinja watoto wa Wayahudi ni nini? Tatizo lenu mkivaa hizo dera akili huwahama sana.

Broo Ile ni vita ya kugombania eneo na mipaka....what you mean that Israel haijawahi kuua mpalestina hata mmoja kabla ya vita hii??
Nakushauri rudi kwa mwalimu wako wa historia wa shule ya msingi!!
Najua point yako kubwa ni hamas walianza uchokozi it's fine.....lakini ni nini kiliwasababisha hamas wafanye hvyo???
Twende kwenye facts sio matusi!!!
Kwani askari wa Israel hawafi kwenye huu mzozo???
Netanyahu yupo wapi??
Aende mstari wa mbele..
 
Ndugu inategemea unapgana vita vya aina gani??sawa yeye hayupo palestna,,, Benjamin neta yupo Israel na mzalendo kweli kweli mbona haendi mstari wa mbele???
Shida ni moja tuu mnaojiita great thinkers kumbe wengi wenu ni vilaza tuu.
Ile ni vita ya hamas kutetea eneo lao na kutaka kukomboa ardhi yao inayokaliwa kimabavu..
Watu nmekuja na tafsiri zenu!!
 
Ndugu inategemea unapgana vita vya aina gani??sawa yeye hayupo palestna,,, Benjamin neta yupo Israel na mzalendo kweli kweli mbona haendi mstari wa mbele???
Ulielewa maelezo ya awali?Anyway,ninavyowajua Mossad,watakuwa wanawawinda hukohuko.
 
Tanganyika ili hifadhi wapigania uhuru wangapi wa mataifa ya kusini mwa Afrika ?
 
Halafu kingine huwezi fananisha harakati za kupigania uhuru za Palestine ambazo ni armed struggle na Tanganyika lililokuwa koloni chini ya usimamizi wa UN.

Tanganyika lilikuwa tu ni suala la muda kupewa kilicho chetu haikuhitajika nguvu sana kudai kilicho chetu weka kichwani hiyo.
 
Jirani nikusalimie tu 🤣🤣🤣
 
Uhuru upi???
Waaarabu kuwanyanganya wayahudi aridhi yao........kama sisi na waarabu wa oman zanzbar????
Waislamu bhana....🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…