Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama tunajifunua Kwa wageni, so vetting inashida ama? Mteuzi hapo atajiteteaje? Total confusion!Hii statement kama haijatolewa kisiasa basi ni statement hatari Sana kwa usalama WA nchi! Je ni akina Nani hao?
vipi mwigulu ni raia wa wapi? Anapenda sana kutaja watu waende burundi kama wanaona bongo ni pagumuWapo wengi Sana kuanzia bashe,mpango na dotto biteko
Vetting ya viongozi si Huwa wanafanya wao!Tiss ndio wanawateua?
Chakufanya ni kuendesha nchi kwa utawala wa sheria. Mamraka yote ya rudi kwa wananchi. Hapo hata mgeni akipewa uraisi haita kuwa na shida kwani atafuwata sheria za nchi na kama akikosea wananchi watamuondowa kwa kura. Siku zote maamuzi ya wengi ni maamuzi ya ki Mungu pia ni ya haki.Na tufanye nini sasa kuondokana na hii kadhia? Maana wasije gusa unyeti wa Nchi tukangamia kama kuku hapa. Usalama kwanza Maslahi ya chapa na nmtu binafsi pembeni.
kwa hiyo kagme ana pandikizi lake ndani ya system? Kama vipi waling'oe tuhahah mambo yameanza, anatafutwa yule wa kgm, aangalie sana ataondoka yeye huyo …
Wanaweza kuwa wazalendo zaidi ya wanaojiita wazawaWapo wengi Sana kuanzia bashe,mpango na dotto biteko
Sina hakika mkuu maana mwenyewe nipo Kinondoni huku nataka nirudi Kunduchi muda siyo mrefuBado wapo mwenge? Nahitaji kuondoka Victoria kwenda njia ya Tegeta
Ameongeza kuwa imebainika baadhi ya Waomba Hifadhi au Wakimbizi au familia zao wameteuliwa Serikalini katika nafasi zenye maamuzi.
Imagine, hii statement kama haijatolewa kimkakati yaani kisiasa basi mtoa statement alipitiwaMbona kama tunajifunua Kwa wageni, so vetting inashida ama? Mteuzi hapo atajiteteaje? Total confusion!
Ajabu kweli anaongelea watu ambao wazazi wao waliingia nchini toka 1972 hao watoto zao na wajukuu zao warundi tena. Si washakuwa watanzania.Wanaweza kuwa wazalendo zaidi ya wanaojiita wazawa
Hujui Africa kuna silaha wanapewa majambazi na kwenda kufanyia uharamia?
Wanaokula Rushwa maofisini ni kina nani?
Wanaobambikia kesi watu ni nani?
Kuna watu wanaiba hela za miradi mabilioni ila huoni wamefungua makampuni je umejiuliza hao wazawa wanazipeleka wapi hizo hela ?
Kama wana nia mbaya nazo unajuaje?
Leo mnabaguana mpaka mnawataja walioshika wadhifa tena kwa upendo wao kuingia siasa
Ni mmoja katika milioni ya wasomali ndio utaona kwenye siasa au General mwenye asili ya Rwanda au Zambia lakini babu zao walikuja miaka 100 iliyopita
Sasa kuna watu humu wengi sana asili zao sio hapa ila kwa kuwa ni wabantu hawajisemi kwa woga
Ila wenzetu mbona wanasema asili zao kama Biden ambae ni Irish?
Ila wabongo waoga kwanini
Kwani ukisema asili yangu Zimbabwe nani atakurudisha kwenu
Kuna Arabs of Latin America walienda huko 19 century na kuna nchi 11 waliwachagua Marais wenye asili yakiarabu hukoKama wapo kwenye nafasi kubwa za maamuzi nini kifanyike juu yao?
Na hao ni waliofahamika, je kuna uhakika gani hao waliofahamika tayari wameshaweka mapandikizi yao huko kwenye ngazi za chini za maamuzi?
Siku zote haya yanasemwa ila leo CDF kusema mwenyewe ni hatari!
Huyo hajawahi kuwa mkimbizi yeye wala wazazi wake, wala babu na bibi zake.Bashe Waziri wa Kilimo.
Na wengine wana vyama vyao vya siasa na ni viongozi.Kwani unadhani hajui, anajua Sema makusudi tu.
Naibu ni mTanzania?
Hussein ni Mtanzania ..Hii ni hatari Sana sana, analengwa Nani hapa? Hussein au Nani?