myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawasawaHuyo hajawahi kuwa mkimbizi yeye wala wazazi wake, wala babu na bibi zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaHuyo hajawahi kuwa mkimbizi yeye wala wazazi wake, wala babu na bibi zake.
Yeye atuambie asili ya majenerali wote babu zao walitoka wapi na yeye piaAjabu kweli anaongelea watu ambao wazazi wao waliingia nchini toka 1972 hao watoto zao na wajukuu zao warundi tena. Si washakuwa watanzania.
Embu wapunguze kunyanyapaa watu kisa babu zao walikuja kama wakimbizi.
Rudi kwenuYaani,haya ndio maoni ya CDF! Anasema kuna watu wanapata uraia, bila serikali kujua!? Kuna ubaya gani, MTU kutoka Rwanda, Burundi, Congo, kuomba uraia? Au kwa vile ni weusi? Mbona wa Asia, wazungu,wapo kibao tu,? Kama jeshi, na taasisi zake za, intelijensia, hawana, tskwimu, na wala hawajuhi hao watu, basi, huyu jamaa, ni kilaza kweli kweli, yaani na jwtz na wao wanalalamika! Kuhusu, wakimbizi haramu! Ingekuwa jeshi lenye weredi, angesema, wamekamata watu 3000+walioingia kinyemera! Fucking stupid
Wewe Mtanzania unahenya kupata passport na hata namba ya NIDA lakini wakimbizi kibao wanazo. Hii nchi yaani basi tu!
Humo wanyarwanda wamejaa unadhani wanafanya kazi gani?Uhamiaji na TISS wanafanay kazi gani?
Tumeandika sana tangu Jambo Forum (2006) mpaka hii leo Jamii Forum (2024), kuwa kuna raia wa nnje wamepatiwa pasi za Tanzania na wana vyeo huko serikalini,mashirika ya umma na taasisi za umma,lakini vyombo vya dola vimeweka pamba masikioni.Hii statement kama haijatolewa kisiasa basi ni statement hatari Sana kwa usalama WA nchi! Je ni akina Nani hao?
Huna maswali wewe...labda kama unaishi Ulaya..Statement ina maswali mengi kuliko majibu wanaashiria nini haswa.
Wamejuaje kuna watu wana nafasi serikalini wakiwa wakimbizi? Wakati statement kama hiyo ulitegemea kutolewa na uhamiaji.
Je wakimbizi wakipewa uraia awaruhusiwi kufanya kazi serikalini au kushiriki siasa.
Je kuna mienendo ya watu walikuwa inawafuatulia katika uchunguzi wao wakabaini hawana makaratasi sahihi ya kushika hizo nafasi
Je wanaashiria uhamiaji inatoa uraia kirahisi without due processes.
Je wanaashiria ni rahisi kupata vitambulisho na huko serikalini hawana system nzuri ya ku-very background ya watu.
Ni statement tata sana with ‘fuzzy logic’ conclusion.
Hao ni Watanzania... kama hamwajui ulizeni, sio kukurupuka...Ukisema Bashe usimuache Kinana pia!
kwa hiyo kagme ana pandikizi lake ndani ya system? Kama vipi waling'oe tu
Hii nchi kuna ujinga mwingi sanaStatement ina maswali mengi kuliko majibu wanaashiria nini haswa.
Wamejuaje kuna watu wana nafasi serikalini wakiwa wakimbizi? Wakati statement kama hiyo ulitegemea kutolewa na uhamiaji.
Je wakimbizi wakipewa uraia awaruhusiwi kufanya kazi serikalini au kushiriki siasa.
Je kuna mienendo ya watu walikuwa inawafuatulia katika uchunguzi wao wakabaini hawana makaratasi sahihi ya kushika hizo nafasi
Je wanaashiria uhamiaji inatoa uraia kirahisi without due processes.
Je wanaashiria ni rahisi kupata vitambulisho na huko serikalini hawana system nzuri ya ku-very background ya watu.
Ni statement tata sana with ‘fuzzy logic’ conclusion.
Mipaka yenyewe wamechora wazungu kwenye Berlin Conference 1885 makabila ya border africa nzima wanaongea lugha moja na upande wa pili. Utakosa vipi wahamiaji.Yeye atuambie asili ya majenerali wote babu zao walitoka wapi ma yeye pia
Utakuta wengi ni wa kuja tu
Zambia, Malawi na hata Msumbiji na kwingine
Tuna chuki tu na hayo sio ya kuropoka angesema tumekamata wanajeshi wanaofanya ugaidi na asili zao hapo sawa
Lakini wakimbizi waliokuwa Ulyankulu miaka 40 iliyopita na kuna Doctors wanaotuhudumia au hajui hilo
Kuwa hata anaemchoma sindano anaweza kuwa asili yake mrundi?
Hapo ni kigoma namba moja ikifuatiwa na KageraMpanda Kigoma Kahama Geita .Mjengoni Lumumba nk
Hiyo story ya Cairo ndio zao, mwenzao Ashraf Marwan aliwakwamisha Waarabu wenzao dhidi ya Israel juu ya tamaa zake.Kuna Arabs of Latin America walienda huko 19 century na kuna nchi 11 waliwachagua Marais wenye asili yakiarabu huko
Ila unaweza ukawa na wakuja na wakafanya vizuri kuliko wanaojiita wananchi
GCC wameajiri wa Sudan, Wasomali kwenye majeshi yao mpaka ukienda kama UAE na Qatar mpaka police na traffic ni wamo wengi tu ila husikii hata siku moja wakilalamika kuwa wameiba silaha au wanataka kupindua au usalama wao waarabu upo hatarini
Sisi masikini tunaogopa wakati ndugu zetu wenyewe wanatupiga mizinga kila leo
Nilienda Cairo miaka 35 iliyopita
Nikampa taxi driver $100 alifurahi akaniambia chukua Cairo yote 😄
Sidhani kama unaweza kuthibitisha juu ya tuhuma hiziWapo wengi Sana kuanzia bashe,mpango na dotto biteko
I agree ni kauli ya kunyanyapaa watuHii nchi kuna ujinga mwingi sana
Hii taarifa ya JWTZ ni ya kichochezi na kinafiki , hii sio kazi yao na kwanza wanaposema wakimbizi wamepewa nafasi za maamuzi wanamaanisha mtu mzima kabisa kahamia Tanzania kaomba uraia halafu leo hii ana nafasi serikalini?
Je vipi kuhusu kina Bashe, Kinana, au Shivji na wahindi wengine ,hawa ambao wamezaliwa na kukulia , na kusoma nchini ndio hawa anawazungumzia?
Kama ni hawa? kwa kauli hii fikiria mbuzi inaiishi kipwilimbiu huko vijijini, atafikiria vipi zaidi ya moja kwa moja kuwahhusisha hawa au wengine wengi kuwa ndio wanaozungimziwa