Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...


Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Jamaa wa kigoma huyo. Alianza kama teacher.....
 
Hii ndio ilikuwa basis ya Swali la The Boss.

Kwenye ulimwengu huu wa kijasusi unaweza kukuta Agenti wa Kenya anakuwa Rais wa TanzaniaπŸ˜…πŸ˜…
 
Magu alijaza wahutu wenzie
 
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??
Nchi hii kuna raia kibao walizamia wakiwa wadogo, wamesoma na baadhi wapo ndani ya siasa za ccm wanakula nchi.

Pamoja na usalama kuonekana mzuri ila wengi wasiyo husika na nchi hii wamo na wanaonekana kuwa ma nguvu kutokana na ile slogan yenu ya uchawa!.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…